Kingmbusel
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 624
- 958
watu wenye madevu aina yake unategemea akae chadema?Kijana wa Ponda huyu anaelekea ACT wazalendo

Mtu mweusi hanaga long term plan. Yeye na umbali wa pua tu.Kwann aligombea? Unafiki wa mtu mweusi ni hatar sana
Ukimuona kijana sheikh halafu ameingia ktk siasa huyo ujue anatafuta pesa kupitia usheikhMakamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.
Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine.
"Najivua, kwa maana ya kwamba sintojihusisha na siasa ya Chama, napumzika. Sitakuwa mwanachama wa chama chochote, napumzika. Hili liwekwe wazi asije mtu akafikiria sijui natoka hapa nakwenda wapi, napumzika kwa sababu nilichogundua katika maisha ya kawaida, siasa haina shukrani. Fanya utakavyofanya, inaweza ikatokea sehemu ukatukanwa bila ya sababu na watu hawazingatii kipi ulichokifanya nyuma. Na hili tumeliona takribani miezi sita, kwamba yupo mtu aliongoza chama takribani miaka 20 lakini leo ukija kuona mtu anatweet neno la Mungu baada ya kushindwa katika uchaguzi, yale maneno yanayokuja kushindiliwa mpaka unajiuliza hawa watu wameandika maneno haya wana kisasi naye? Kawachukulia dada zao au imekuwaje? Lakini ni mashambulizi mpaka unajiuliza hili limetokeaje."
"Ninachoahidi ni kwamba sitaandika kitabu cha kuisema vibaya Chadema, sitaandika kitabu cha nyuma ya pazia, mbele ya pazia ama katikati ya uvungu. Nitakachofanya ni kutulia na kuendelea na harakati zangu. Lakini pia itoshe kusema kwamba pamoja na kuacha kwangu siasa, bado nina nafasi kama Mtanzania ya kuweza kukosoa pale mambo yatakapoenda tofauti."
Chanzo: Habari Mpya TV
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.
Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine.
"Najivua, kwa maana ya kwamba sintojihusisha na siasa ya Chama, napumzika. Sitakuwa mwanachama wa chama chochote, napumzika. Hili liwekwe wazi asije mtu akafikiria sijui natoka hapa nakwenda wapi, napumzika kwa sababu nilichogundua katika maisha ya kawaida, siasa haina shukrani. Fanya utakavyofanya, inaweza ikatokea sehemu ukatukanwa bila ya sababu na watu hawazingatii kipi ulichokifanya nyuma. Na hili tumeliona takribani miezi sita, kwamba yupo mtu aliongoza chama takribani miaka 20 lakini leo ukija kuona mtu anatweet neno la Mungu baada ya kushindwa katika uchaguzi, yale maneno yanayokuja kushindiliwa mpaka unajiuliza hawa watu wameandika maneno haya wana kisasi naye? Kawachukulia dada zao au imekuwaje? Lakini ni mashambulizi mpaka unajiuliza hili limetokeaje."
"Ninachoahidi ni kwamba sitaandika kitabu cha kuisema vibaya Chadema, sitaandika kitabu cha nyuma ya pazia, mbele ya pazia ama katikati ya uvungu. Nitakachofanya ni kutulia na kuendelea na harakati zangu. Lakini pia itoshe kusema kwamba pamoja na kuacha kwangu siasa, bado nina nafasi kama Mtanzania ya kuweza kukosoa pale mambo yatakapoenda tofauti."
Amejitambua.Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.
Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine.
"Najivua, kwa maana ya kwamba sintojihusisha na siasa ya Chama, napumzika. Sitakuwa mwanachama wa chama chochote, napumzika. Hili liwekwe wazi asije mtu akafikiria sijui natoka hapa nakwenda wapi, napumzika kwa sababu nilichogundua katika maisha ya kawaida, siasa haina shukrani. Fanya utakavyofanya, inaweza ikatokea sehemu ukatukanwa bila ya sababu na watu hawazingatii kipi ulichokifanya nyuma. Na hili tumeliona takribani miezi sita, kwamba yupo mtu aliongoza chama takribani miaka 20 lakini leo ukija kuona mtu anatweet neno la Mungu baada ya kushindwa katika uchaguzi, yale maneno yanayokuja kushindiliwa mpaka unajiuliza hawa watu wameandika maneno haya wana kisasi naye? Kawachukulia dada zao au imekuwaje? Lakini ni mashambulizi mpaka unajiuliza hili limetokeaje."
"Ninachoahidi ni kwamba sitaandika kitabu cha kuisema vibaya Chadema, sitaandika kitabu cha nyuma ya pazia, mbele ya pazia ama katikati ya uvungu. Nitakachofanya ni kutulia na kuendelea na harakati zangu. Lakini pia itoshe kusema kwamba pamoja na kuacha kwangu siasa, bado nina nafasi kama Mtanzania ya kuweza kukosoa pale mambo yatakapoenda tofauti."
Anaenda kujiunga na islamic Republic of TanzaniaMakamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.
Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine.
"Najivua, kwa maana ya kwamba sintojihusisha na siasa ya Chama, napumzika. Sitakuwa mwanachama wa chama chochote, napumzika. Hili liwekwe wazi asije mtu akafikiria sijui natoka hapa nakwenda wapi, napumzika kwa sababu nilichogundua katika maisha ya kawaida, siasa haina shukrani. Fanya utakavyofanya, inaweza ikatokea sehemu ukatukanwa bila ya sababu na watu hawazingatii kipi ulichokifanya nyuma. Na hili tumeliona takribani miezi sita, kwamba yupo mtu aliongoza chama takribani miaka 20 lakini leo ukija kuona mtu anatweet neno la Mungu baada ya kushindwa katika uchaguzi, yale maneno yanayokuja kushindiliwa mpaka unajiuliza hawa watu wameandika maneno haya wana kisasi naye? Kawachukulia dada zao au imekuwaje? Lakini ni mashambulizi mpaka unajiuliza hili limetokeaje."
"Ninachoahidi ni kwamba sitaandika kitabu cha kuisema vibaya Chadema, sitaandika kitabu cha nyuma ya pazia, mbele ya pazia ama katikati ya uvungu. Nitakachofanya ni kutulia na kuendelea na harakati zangu. Lakini pia itoshe kusema kwamba pamoja na kuacha kwangu siasa, bado nina nafasi kama Mtanzania ya kuweza kukosoa pale mambo yatakapoenda tofauti."
Mbona hao wakina mbowe na wahuni wenzie niliwasema siku nyingi kuhusu ccm ...na sasa nawasema waislamu waliopo kwenye uongozi wa chadema asilimia 60 ni magugu sugu ya ccm waondolewe au wawekewe mazingira ya kujiondoa wenyewe .....Uislam umeingiaje? John mrema, Devotha minja nk wameama chadema mbona ujausema ukristu wao. Acha chuki na uislam.
Hivi mshagundua kuwa siasa za Tanzania zimebadilika kabisa tangu CHADEMA ipate viongozi wapya? Yaani vuguvugu limekuwa kubwa zaidi na serikali imejikuta ina-panic na kufanya makosa makubwa.Lilikua swala la muda tu Shekhe alikua mpambe wa Wembo hadi Hesikopta amepata sana tunamtakia kila lakheri siasa la kitapeli zakupiga deal hazipo kwa sasa ni siasa za ukombozi
Kumuamini.muislamu katika kupigania mambo ya kizalendo ni upumbavu mkubwa sana tena ni kosa kubwa sana .....taifa la Tanganyika linadidimia kwa sababu ya viongozi waislamu wanao penda kusujudia waarabu na mabeberu daimaBado yule mama wa zanzibar mwenyekiti cha wa wanawake😅
jiandae Kwa mitusi ya ndumuzMakamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.
Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine.
"Najivua, kwa maana ya kwamba sintojihusisha na siasa ya Chama, napumzika. Sitakuwa mwanachama wa chama chochote, napumzika. Hili liwekwe wazi asije mtu akafikiria sijui natoka hapa nakwenda wapi, napumzika kwa sababu nilichogundua katika maisha ya kawaida, siasa haina shukrani. Fanya utakavyofanya, inaweza ikatokea sehemu ukatukanwa bila ya sababu na watu hawazingatii kipi ulichokifanya nyuma. Na hili tumeliona takribani miezi sita, kwamba yupo mtu aliongoza chama takribani miaka 20 lakini leo ukija kuona mtu anatweet neno la Mungu baada ya kushindwa katika uchaguzi, yale maneno yanayokuja kushindiliwa mpaka unajiuliza hawa watu wameandika maneno haya wana kisasi naye? Kawachukulia dada zao au imekuwaje? Lakini ni mashambulizi mpaka unajiuliza hili limetokeaje."
"Ninachoahidi ni kwamba sitaandika kitabu cha kuisema vibaya Chadema, sitaandika kitabu cha nyuma ya pazia, mbele ya pazia ama katikati ya uvungu. Nitakachofanya ni kutulia na kuendelea na harakati zangu. Lakini pia itoshe kusema kwamba pamoja na kuacha kwangu siasa, bado nina nafasi kama Mtanzania ya kuweza kukosoa pale mambo yatakapoenda tofauti."
Karibu sana kwenye kundi letu tusiofungamana na chama chochote. Sisi ni neutral, tunakosoa na kupongeza kila upande bila kujali itikadi."Najivua, kwa maana ya kwamba sintojihusisha na siasa ya Chama, napumzika. Sitakuwa mwanachama wa chama chochote, napumzika.
Serikali haijapanicHivi mshagundua kuwa siasa za Tanzania zimebadilika kabisa tangu CHADEMA ipate viongozi wapya? Yaani vuguvugu limekuwa kubwa zaidi na serikali imejikuta ina-panic na kufanya makosa makubwa.
Unaharibu unapo LETA mambo ya udini, Chama Cha Siasa kina wanachama wa dini zote na kuondoka sio dhambi,Hii ni habari njema sana kwa chademq.... ukweli usemwe 😁😁😁😁 asilimia 60 ya viongozi waislamu waliopo chadema ni magugu ya ccm
Ndiyo maana nikasema asilimia 60 ya viongozi siyo mia tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri kama samia bushiriUnaharibu unapo LETA mambo ya udini, Chama Cha Siasa kina wanachama wa dini zote na kuondoka sio dhambi,
Kwanini unamtukana ?Huyo Si lolote si chochote, chadema ilikuwepo, ipo na itakuwepo ! Huyo ni mpumbavu tu !!!!
Chadema ipo mioyoni mwa watanzania
Boni yai mbona ana madevu na bado yuko Chadema?watu wenye madevu aina yake unategemea akae chadema?