PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) ajivua Uanachama

PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) ajivua Uanachama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nyie mnaotukana watu kwasababu ya maamuzi yao binafsi mna ulimbukeni wa akili na fikra.Mmejificha mitandaoni kwa majina feki alafu mnatuka wanaojulikana na mchango wao kwenye chama unajulikana.Kama mnafikiri hizo ndio siasa mtakua mna ujinga mwingi sana.Mwenye akili timamu niyule anayeongeza nguvu pale alipotoka mtu nasio kumtukana kwasababu hakuna aliyepandwa kwenye hivyo vyama na hakuna aijuaye kesho yake.
 
Kumuamini.muislamu katika kupigania mambo ya kizalendo ni upumbavu mkubwa sana tena ni kosa kubwa sana .....taifa la Tanganyika linadidimia kwa sababu ya viongozi waislamu wanao penda kusujudia waarabu na mabeberu daima

nyie jamaa munazidi kupoteza ushawishi
 
Pongenzi nyingi kwake kwa kujielewa.
Chama kimepoteza mwelekeo.
Tumuache Heche peke yake.
 
Uislam umeingiaje? John mrema, Devotha minja nk wameama chadema mbona ujausema ukristu wao. Acha chuki na uislam.
Hii ni habari njema sana kwa chademq.... ukweli usemwe 😁😁😁😁 asilimia 60 ya viongozi waislamu waliopo chadema ni magugu ya ccm
Na huu ndio ukweli 100% chadema ni chama cha wakristo, hili wala halina shaka
 
Hii ni habari njema sana kwa chademq.... ukweli usemwe 😁😁😁😁 asilimia 60 ya viongozi waislamu waliopo chadema ni magugu ya ccm
Unaposema jambo "Bila ya kupindapinda"!
WaTanzania tume endekeza sana tabia ya unafiki siku hizi. Hasa huko ndani ya CCM tabia hiyo imestawishwa sana.
 
Bado yule mama wa zanzibar mwenyekiti cha wa wanawake😅
Unajuwa?
CHADEMA inaweza kabisa kukosa sifa za kuwa chama cha siasa Tanzania sasa hivi kirahisi sana.
Wazanzibar wote waliomo ndani ya chama hicho kujitoa ndani ya chama!

Hii siyo ndoto mbaya tena; na wala haiwezi kujificha, kwa jinsi mambo yalivyokaa sasa hivi.

WaTanzania ni lazima waelewe kinachoendelea sasa hivi ndani ya nchi hii chini ya Samia Suluhu Hassan na GENGE lake.
 
UNATAKA KUSEMA CHADEMA NI WAKRISTO TU.
Hapa tunaangalia wakristo wahuni na waislamu wahuni .....wahuni ni wale wanao pinga haki kwa kutumia unafiki ....tatizo la wapumbavu wengi amjui udini ni nini ? Nikiwaambieni maana ya udini mtabaki kimya
 
nyie jamaa munazidi kupoteza ushawishi
Unajidanganya ...waislamu wapo tayari kuipinga haki ili kumshabikia muislamu muhalifu huo ni upumbavu na ndiyo udini halisi
 
Kwa posti niliyoi nukuu udini upo sana kwa wafuasi wa chadomo. Ni wadini wakubwa sana.
Udini wa kutetea haki tunauunga mkono ila udini wa kutetea wahuni na mafisadi tunaupinga ...udini wa wakristo ni mzuri ila udini wa waislamu ni kuunga mkono waovu wa dini yao ...
 
Unajidanganya ...waislamu wapo tayari kuipinga haki ili kumshabikia muislamu muhalifu huo ni upumbavu na ndiyo udini halisi

Hata uchaguzi ukiwa huru, Chadema haiwezi kushinda uchaguzi bila ya support kutoka kwa waislamu
 
Hata uchaguzi ukiwa huru, Chadema haiwezi kushinda uchaguzi bila ya support kutoka kwa waislamu
Wewe mpumbavu atutaki chadema ishinde tunataka haki ishinde ...tatizo lenu waislamu wengi ni wanafiki sana na wadini dhidi ya haki ...au nikuletee ushahidi wenye logic kuhusu ili.
 
Wewe mpumbavu atutaki chadema ishinde tunataka haki ishinde ...tatizo lenu waislamu wengi ni wanafiki sana na wadini dhidi ya haki ...au nikuletee ushahidi wenye logic kuhusu ili.

haki gani ishinde? nyie majamaa ni wapuuzi sana
 
Watu wengine kwa chama ni wadogo kuliko sisimizi halafu wanafikiri watayumbisha chama.

Sasa naona wameona kujiunga CHAUMMA haisadii wamebadili mbinu.

Anyway, wana akili finyu kama za yule anaewatumia.
Mbowe mwenyewe kawatanguliza wenzake asome upepo, ameona haukawa sawa huko Chauma hajuai afanyeje. Alichotegemea kimekataa.
 
Back
Top Bottom