PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) ajivua Uanachama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe una ubongo wa pilitoni. Unaposema isilamu hawapiganii haki.. unamaana gani? Kwa maana nyingine unasema wana udini dhidi ya haki. Umesema kitu kile kile.
Ndiyo hiyo waislamu ni wadini dhidi ya haki ...kama wangekuwa wadini kwa ajili ya haki ingekuwa sahihi wala nisinge wahita wapumbavu...
Udini tunao upinga ni udini wa kuthamini DINI DHIDI YA HAKI na udini tunao ukubali ni udini wa kuthaminj DINI KWA AJILI YA HAKI
 
Sikia hiki kijambio cha samia bushiri 😁😁😁😁
 
Hapa tunaangalia wakristo wahuni na waislamu wahuni .....wahuni ni wale wanao pinga haki kwa kutumia unafiki ....tatizo la wapumbavu wengi amjui udini ni nini ? Nikiwaambieni maana ya udini mtabaki kimya
Mpumbavu ni yule anaejibu watu kwa upumbavu nasio kwa hoja
 
Ungekua sio kamanda mwenzangu CHADEMA ningekutukana lakini nakuacha
Mimi siyo chadema ningekuwa chadema ccm isingekuwepo madarakani wala samia asinge fika alipo.
 
Hii ni habari njema sana kwa chademq.... ukweli usemwe 😁😁😁😁 asilimia 60 ya viongozi waislamu waliopo chadema ni magugu ya ccm
Kumbe kweli CDM ni ya wagala!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…