Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
ni muhimu sana kufanya siasa za heshma na za kistaarabu kwa kuzingatia sheriaOthman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi.
"Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa heshima yake anaweza akakusikiliza lakini ukimtweza utu wake, haumuheshimu. Hakusikilizi!
"Na hawa ndio wanachelewesha 'reforms' wakati mwingine, unakaaje na watu ambao wanajifanya ni wababe wakati hawana ubabe wowote?. Anataka akamatwe ili kuongeza credit yake, apate kiki. Ukisikiliza lugha zinazotumika kwenye majukwaa ya siasa. Mimi kama kiongozi wa kisiasa sikubaliani nazo"
Kiongozi wa upinzani kuona reforms kama hisani unazopewa baada ya rais kukusikiliza ni ujinga.Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi.
"Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa heshima yake anaweza akakusikiliza lakini ukimtweza utu wake, haumuheshimu. Hakusikilizi!
"Na hawa ndio wanachelewesha 'reforms' wakati mwingine, unakaaje na watu ambao wanajifanya ni wababe wakati hawana ubabe wowote?. Anataka akamatwe ili kuongeza credit yake, apate kiki. Ukisikiliza lugha zinazotumika kwenye majukwaa ya siasa. Mimi kama kiongozi wa kisiasa sikubaliani nazo"
takataka linatafuta uteuzi, mbona halisemi watu wanaopotea?Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi.
"Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa heshima yake anaweza akakusikiliza lakini ukimtweza utu wake, haumuheshimu. Hakusikilizi!
"Na hawa ndio wanachelewesha 'reforms' wakati mwingine, unakaaje na watu ambao wanajifanya ni wababe wakati hawana ubabe wowote?. Anataka akamatwe ili kuongeza credit yake, apate kiki. Ukisikiliza lugha zinazotumika kwenye majukwaa ya siasa. Mimi kama kiongozi wa kisiasa sikubaliani nazo"
Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi.

Huyo ndiyo anajua siasaOthman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi.
"Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa heshima yake anaweza akakusikiliza lakini ukimtweza utu wake, haumuheshimu. Hakusikilizi!
"Na hawa ndio wanachelewesha 'reforms' wakati mwingine, unakaaje na watu ambao wanajifanya ni wababe wakati hawana ubabe wowote?. Anataka akamatwe ili kuongeza credit yake, apate kiki. Ukisikiliza lugha zinazotumika kwenye majukwaa ya siasa. Mimi kama kiongozi wa kisiasa sikubaliani nazo"
Puuzeni hili bwegeKiongozi wa upinzani kuona reforms kama hisani unazopewa baada ya rais kukusikiliza ni ujinga.
Halafu Samia kama kiongozi wa nchi ndiye mtu anayepaswa kuwa na protection ndogo kabisa dhidi ya mashambulio ya watu ya kukosa heshima. Yani inatakiwa iwe rahisi zaidi kumtukana Samia kumuita Mshenzi Samia kuliko kumuita hivyo raia ambaye hajajiondolea kinga za faragha za mtu binafsi kwa kuingia kwenye siasa.
We have it backwards, tunaona rais ndiye anastahili heshima kubwa kuliko raia wa kawaida.
Umebaki we kupotezwa toka kwenye ID feki maana uko km msukuletakataka linatafuta uteuzi, mbona halisemi watu wanaopotea?
Kwa maneno mazuri aliyoyaongea huyu ndugu, Lissu na Heche wanastahili KUCHAPWA Makofi wakiwa wamesimama jukwaani ili kuwatia akili!Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi.
"Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa heshima yake anaweza akakusikiliza lakini ukimtweza utu wake, haumuheshimu. Hakusikilizi!
"Na hawa ndio wanachelewesha 'reforms' wakati mwingine, unakaaje na watu ambao wanajifanya ni wababe wakati hawana ubabe wowote?. Anataka akamatwe ili kuongeza credit yake, apate kiki. Ukisikiliza lugha zinazotumika kwenye majukwaa ya siasa. Mimi kama kiongozi wa kisiasa sikubaliani nazo"
Yaani wapumbavu hawanaga hoja wamekariri utekaji tu, nyumbu tu nyie. Utekaji uko nchi nyingi ni juzi tu alitekwa mbunge kule Kenya na kukutwa akiwa hajitambui, baki uwe raia mwema ukileta chokochoko utapotezwa ndio kanuni ya duniatakataka linatafuta uteuzi, mbona halisemi watu wanaopotea?
This is an ad hominem logical fallacy.Puuzeni hili bwege
ni muhimu sana kufanya siasa za heshma na za kistaarabu kwa kuzingatia heshima 🐒
Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi.
"Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa heshima yake anaweza akakusikiliza lakini ukimtweza utu wake, haumuheshimu. Hakusikilizi!
"Na hawa ndio wanachelewesha 'reforms' wakati mwingine, unakaaje na watu ambao wanajifanya ni wababe wakati hawana ubabe wowote?. Anataka akamatwe ili kuongeza credit yake, apate kiki. Ukisikiliza lugha zinazotumika kwenye majukwaa ya siasa. Mimi kama kiongozi wa kisiasa sikubaliani nazo"
Huo ukali umewasaidia nini, ht ufokefoke haitasaidia, siasa ni sayansiCcm ikusikilize kwa upole ? hivi mwanasiasa Gani uwaelewi unyama wa ccm