PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara, Othman Dunga: Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais

PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara, Othman Dunga: Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais.

"Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia, mtu ukimpa heshima yake anaweza akakusikiliza ukimtweza utu wake, haumuheshimu. Hakusikilizi!
"Na hawa ndio wanachelewesha 'reforms' wakati mwingine, unakaaje na watu ambao wanajifanya ni wababe wakati hawana ubabe wowote?. Anataka akamatwe ili kuongeza credit yake, apate kiki. Ukisikiliza lugha zinazotumika kwenye majukwaa ya siasa. Mimi kama kiongozi wa kisiasa sikubaliani nazo"

..Tanzania kuna vyama vya siasa 21 kama sikosei.

..chama kimoja tu ndio kinazungumza lugha mbaya, au kinamtukana Raisi.

..vyama 19 vilivyobaki vinazungumza kwa upole, na kudai mabadiliko kwa unyenyekevu.

..sasa kwanini Raisi wanayemtaka alete mabadiliko havisikilizi hivyo vyama 19 vinavyomheshimu na kumnyenyekea?
 
Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi.

"Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa heshima yake anaweza akakusikiliza lakini ukimtweza utu wake, haumuheshimu. Hakusikilizi!

Back
Top Bottom