PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara, Othman Dunga: Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yaani wapumbavu hawanaga hoja wamekariri utekaji tu, nyumbu tu nyie. Utekaji uko nchi nyingi ni juzi tu alitekwa mbunge kule Kenya na kukutwa akiwa hajitambui, baki uwe raia mwema ukileta chokochoko utapotezwa ndio kanuni ya dunia
So anyone who disagrees with your shallow thinking deserves to be lost? that’s not power chawa , that’s cowardice wrapped in desperation.

Unajua nyinyi machawa ndio mnaona utekaji kama hoja ya kisiasa – na hiyo si hoja, ni ushamba. Intelligence is not violence, na kama huna logic ya kusimamia msimamo wako bila vitisho, basi uko kwenye level ya keyboard warrior wa giza.

Kama kuongea ukweli ni chokochoko, basi heri iwe hivyo, kuliko kuwa zombie anayeshangilia utekaji kana kwamba ni World Cup. Tafuta hoja, si vitisho.
 
Huyu ni kati ya wale waliofanya ofisi kuwa makazi ya kuishi akishirikiana na Lipumba. Mpuuezeni
 
..Tanzania kuna vyama vya siasa 21 kama sikosei.

..chama kimoja tu ndio kinazungumza lugha mbaya, au kinamtukana Raisi.

..vyama 19 vilivyobaki vinazungumza kwa upole, na kudai mabadiliko kwa unyenyekevu.

..sasa kwanini Raisi wanayemtaka alete mabadiliko havisikilizi hivyo vyama 19 vinavyomheshimu na kumnyenyekea?

..Na Raisi mwenyewe alishasema kwamba Reforms / Mabadiliko ni sehemu ya falsafa yake ya 4R.

Cc Nguruvi3
 
Huko Marekani kwenyewe wanapowapa misaada wao wanumuita Trump tu.
 
Chama chake kimefariki.Anajipigia promo wakumbukwe.
Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi.

"Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa heshima yake anaweza akakusikiliza lakini ukimtweza utu wake, haumuheshimu. Hakusikilizi!

"Na hawa ndio wanachelewesha 'reforms' wakati mwingine, unakaaje na watu ambao wanajifanya ni wababe wakati hawana ubabe wowote?. Anataka akamatwe ili kuongeza credit yake, apate kiki. Ukisikiliza lugha zinazotumika kwenye majukwaa ya siasa. Mimi kama kiongozi wa kisiasa sikubaliani nazo"
 
Akamsifie mama yake mzazi
 
Astahiliye heshima hupewa, ila hapa sheikh anajikombakomba kwa hisia za udini wake, CUF bado ni ya kidini sana licha ya kuwa kipekutishwa na haina muelekeo wa kuwa chama cha kitaifa
 
Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi.

"Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa heshima yake anaweza akakusikiliza lakini ukimtweza utu wake, haumuheshimu. Hakusikilizi!

"Na hawa ndio wanachelewesha 'reforms' wakati mwingine, unakaaje na watu ambao wanajifanya ni wababe wakati hawana ubabe wowote?. Anataka akamatwe ili kuongeza credit yake, apate kiki. Ukisikiliza lugha zinazotumika kwenye majukwaa ya siasa. Mimi kama kiongozi wa kisiasa sikubaliani nazo"
Unamkashifu rais kwa chuki zako binafsi utaishia pabaya tu
 
Ustaadhi unamtetea Mja wa Mnyaaz Mungu
 
CHADEMA kashifa ni mtoto na uji
 
Ngoja uone atakavyotukanwa na kile kikosi cha akili maji taka.
 
Back
Top Bottom