MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Hakuna dongo nafahamu ila ametuma ujumbe kuwa Kama watu waliuawa 29-October si tu walioshika bunduki ila hata aliyewatumaKwani mkuu hili ni dongo au ndo taratibu za kisheria katika utawala na utawala bora? Hii inaitwa "uwajibikaji" (accountability). Kwahivyo Nchimbi kaeleza kiutawala (administratively). Hakuna dongo hapo. Kuna ukweli mtupu.