MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Hakuna dongo nafahamu ila ametuma ujumbe kuwa Kama watu waliuawa 29-October si tu walioshika bunduki ila hata aliyewatumaKwani mkuu hili ni dongo au ndo taratibu za kisheria katika utawala na utawala bora? Hii inaitwa "uwajibikaji" (accountability). Kwahivyo Nchimbi kaeleza kiutawala (administratively). Hakuna dongo hapo. Kuna ukweli mtupu.
Inasemekana yule mzee wa Chato bodyguard wake alimsaliti, ndio maana jamaa amechagua wa visiwani.Hapo sijui kama kweli au laa?.Makamu Nchimbi kwanini "Bodyguards" wake wote ni wanzanzibari je ni uoga wa machawa wa Mama?
Ndivyo nilivyosema. Na hilo sio dongo ni uhalisia.Hakuna dongo nafahamu ila ametuma ujumbe kuwa Kama watu waliuawa 29-October si tu walioshika bunduki ila hata aliyewatuma
Ame compromise.Mbona ADC wa mama ni mbara hapo unasemaje?
Yeah!