#COVID19 Makamu Rais wa Marekani, Kamala akutwa na maambukizi ya Uviko-19 licha ya kuchanja mara mbili

#COVID19 Makamu Rais wa Marekani, Kamala akutwa na maambukizi ya Uviko-19 licha ya kuchanja mara mbili

Wataalamu hebu nitoeni tongotongo, hivi kuna chanjo ya mchongo kuwahi kutokea duniani kama ya Corona?

Umepigwa Chanjo lakini bado unaambukizwa! Maajabu!
... chanjo haiondoi kuambukizwa ugonjwa ewe kiazi!
 
Kama mama yuko vaccinated badi hakuna shida, hata akiambukizwa haitompa shida.

Lakini kama siku ile walitufanyia maigizo basi inaweza kuwa balaa, kimasihala masihala unakuta push gang wanarudi mjengoni [emoji16][emoji16]
Unafikiri makamu wa Rais hakuwa vaccinated?
 
Sasa kama chanjo haina msaada ni ya kazi gani?
... dah; siamini somo la chanjo ni gumu kiasi hiki. Chanjo zimekuwepo miaka na miaka kuazia surua, kifaduro, ndui, polio, n.k. n.k. n.k. until recently Covid-19. Waliochanjwa surua haimaanishi hawaambukizwi surua; vivyo hivyo kifaduro, ndui, polio, n.k. Ukichanjwa it means ukiambukizwa huathiriki kama asiyechanjwa; makali ya ugonjwa yanadhibitiwa na chanjo.

Ukipimwa utaonekana yes umeambukizwa Covid but athari za Covid kwako hazipo or are very minimal; chance ya kufa ni ndogo au haipo kwa sababu tayari mwili una kinga (chanjo).
 
MUNGU atende muujiza sio kwa huu mkenge tuliouvaa! Corona ni hatari tujikinga kwa kunawa mikono Mara kwa mara
 
Today I tested positive for COVID-19. I have no symptoms, and I will continue to isolate and follow CDC guidelines. I’m grateful to be both vaccinated and boosted. -; US Vice President Kamala Harris.

Na tusisahau Actress wa'Kizanzibari'alizurula nae sana katika Ceremonial Office yake pale Washington hivyo Watizama Filamu tunaanza sasa kuwa na Wasiwasi.

Huu mwaka hatutaki tena Majonzi TZA.
 
Back
Top Bottom