... chanjo haiondoi kuambukizwa ugonjwa ewe kiazi!Wataalamu hebu nitoeni tongotongo, hivi kuna chanjo ya mchongo kuwahi kutokea duniani kama ya Corona?
Umepigwa Chanjo lakini bado unaambukizwa! Maajabu!
Hapo umefurahiiii??!!Ohooooo !!
Unafikiri makamu wa Rais hakuwa vaccinated?Kama mama yuko vaccinated badi hakuna shida, hata akiambukizwa haitompa shida.
Lakini kama siku ile walitufanyia maigizo basi inaweza kuwa balaa, kimasihala masihala unakuta push gang wanarudi mjengoni [emoji16][emoji16]
... H.E. alikuwa mtanzania wa kwanza kuchanja! She is safe! Mungu ambariki sana na kumlinda.Hapo umefurahiiii??!!
Kamala yupo Fully vaccinated na Booster amepata piaWataalamu hebu nitoeni tongotongo, hivi kuna chanjo ya mchongo kuwahi kutokea duniani kama ya Corona?
Umepigwa Chanjo lakini bado unaambukizwa! Maajabu!
Sasa kama chanjo haina msaada ni ya kazi gani?... chanjo haiondoi kuambukizwa ugonjwa ewe kiazi!
... dah; siamini somo la chanjo ni gumu kiasi hiki. Chanjo zimekuwepo miaka na miaka kuazia surua, kifaduro, ndui, polio, n.k. n.k. n.k. until recently Covid-19. Waliochanjwa surua haimaanishi hawaambukizwi surua; vivyo hivyo kifaduro, ndui, polio, n.k. Ukichanjwa it means ukiambukizwa huathiriki kama asiyechanjwa; makali ya ugonjwa yanadhibitiwa na chanjo.Sasa kama chanjo haina msaada ni ya kazi gani?
... Good! Then she is safe.Kamala yupo Fully vaccinated na Booster amepata pia
Mkuu bado upon Sweden?!Kwa sasa nchi za Ulaya COVID imekuwa issue ya kawaida kama mafua tu. Muhimu uwe ushapata chanjo. Hata ukipata haiwi severe kivile kama ilivyokuiwa mwanzo.
Kwanini Watanzania wa Siku hizi mna Roho Mbaya sana? Ni Maisha yetu Magumu au Shetani wa Chuki na Wivu ameshajenga Hifadhi yake ya kudumu Mioyoni mwenu?Kama itapelekea kushuka kwa gharama za maisha basi nipo upande wa COVID, iondoke tu na Tarzan wa kike.
Unauliza Kufunga Magoli kwa Mayele au?duh! kwaio likitokea lolote mshapata kisingizio?