#COVID19 Makamu Rais wa Marekani, Kamala akutwa na maambukizi ya Uviko-19 licha ya kuchanja mara mbili

Mbona kama tunatafutwa si Mh alikua nae juzi wanataka kusema kapeleka ugonjwa au na yeye kaupata huko?
 
Samia Suluhu naye akitoka USA apimwe Uviko-19​

Chanjo haizuii maambukizi ya Uviko-19.
 
Hajakutana na mama yetu? Kama walikutana aweke lockup 14 dys
 
Kamala Harris makamu wa rais wa marekani ana chanjo mbili na booster mbili za corona lakini corona haikuogopa vyote hivyo ikampitia fasta! Sasa nini faida ya kuchanjwa kama haikukingi na maambukizi?
 
Shikamoo putin,
Putin kawachanganya wazungu,
Hawajui washike lipi,
Nyuklia au corona?
Endelea baba putin mpaka waite maji mma
 
Kamala Harris makamu wa rais wa marekani ana chanjo mbili na booster mbili za corona lakini corona haikuogopa vyote hivyo ikampitia fasta! Sasa nini faida ya kuchanjwa kama haikukingi na maambukizi?
Sasa hivi kuna gonjwa lingine wanalipromoti la homa ya ini linawakumbuka watoto kati ya mwaka 1 mpaka 16 na kuharibu maini.
Limeikumba ulaya na marekani
 
Hangaya hawezi kutangazwa kuwa ana Corona hata kama anayo maana alizindua chanjo hapa TZ akachanjwa hadharani sasa Corona kaipataje?
 
Acha kurukaruka kama ngisi aliyetolewa mtoni na ujibu swali.
Maneno hayo unaweza kumwambia mama yako mzazi? au mama yako mzazi angekuwa rais ungekubali akashfiwe kama hivi?

Narudia tena huna akili.
 
Acha kurukaruka kama ngisi aliyetolewa mtoni na ujibu swali.
Maneno hayo unaweza kumwambia mama yako mzazi? au mama yako mzazi angekuwa rais ungekubali akashfiwe kama hivi?

Narudia tena huna akili.
we ni mpumbavu kabisa. Raisi wako katajwa wapi?
 
Ni njama tuu za Mabepari, wakati nyinyi mkiona Corona, wenzenu wanamtazama Putin na mbinu za kuyakusanya mataifa yawe upande wa America na Ulaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…