Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
...and Opportunists. Katika mahojiano yake na Tundu Lissu, kwenye mfululizo wa vipindi vya one on one with Tundu Lissu, Zitto Kabwe kafafanua vizuri sababu zinazomfanya awe mwanasiasa NYOKA. Ni ile TAMAA yake ya URAIS.Othman Masoud Mtu Makini sana asiyeendana na Siasa za Njaa, kujipendekeza na Maslahi za ACT.
Othman Masoud ni type ya Lissu, hayuko Comaptible kabisa na Zitto na ACT (Alliance For Cowards & Traitors) yake
Othman Masoud Historia inamlinda na kumtetea.Othman Masoud Mtu Makini sana asiyeendana na Siasa za Njaa, kujipendekeza na Maslahi za ACT.
Othman Masoud ni type ya Lissu, hayuko Comaptible kabisa na Zitto na ACT (Alliance For Cowards & Traitors) yake
Huyu bwana si mwanasiasa ni mpenda haki kweli kweli na nimcha Mungu, hana tamaa.Othman Masoud Historia inamlinda na kumtetea.
Kosa kubwa lililofanywa na zito nikukubali kuingia serikalini...
Kosa kubwa lililofanywa na zito nikukubali kuingia serikalini
Othuman kamakawaida ataachia ngazi akaendelee nashule ughaibuni huko ,kuvumilia uchwara hua hawezi
Wafuasi wa Zitto wana tabu sanaOthman Masoud Mtu Makini sana asiyeendana na Siasa za Njaa, kujipendekeza na Maslahi za ACT.
Othman Masoud ni type ya Lissu, hayuko Comaptible kabisa na Zitto na ACT (Alliance For Cowards & Traitors) yake
Zitto asingekuwa na tamaa sasa hivi angekuwa mwanasiasa mkubwa sana kuliko Mbowe na Lissu....and Opportunists. Katika mahojiano yake na Tundu Lissu, kwenye mfululizo wa vipindi vya one on one with Tundu...
Viongozi waliowahi na waotokea Zanzibar mwenye uislam wa kweli no mhedhimiwa huyu masoud.Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud
Hata angekemea wasingemuelewa licha ya kumsikiaKwa hyo hapo mwamba ndio ankemea maovu?
Mbona Kama anahubir tu CCM haiwezi kusikia kwa namna hyo hata kidogo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hata angekemea wasingemuelewa licha ya kumsikia
Asiyesikia la mkuu....... Mheshimiwa ache kulalamika. Avumilie tu. ACT wameyataka wenyewe.Kwa hyo hapo mwamba ndio ankemea maovu?
Mbona Kama anahubir tu CCM haiwezi kusikia kwa namna hyo hata kidogo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi kabisa mkuu. Yaani Zitto hakuona kabisa kwamba kwa umri wake mdogo, na kwa dini yake, na kwamba ni mtu wa Kigoma,Zitto asingekuwa na tamaa sasa hivi angekuwa mwanasiasa mkubwa sana kuliko Mbowe na Lissu...