Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani?

Upo sahihi kabisa mkuu. Yaani Zitto hakuona kabisa kwamba kwa umri wake mdogo, na kwa dini yake, na kwamba ni mtu wa Kigoma, cheo cha Naibu Katibu Mkuu katika ...
Sina ukabila lakini watu wa Kigoma huwa siwaamini.

Wana uwezo mzuri lakini wako kimaslahi zaidi.

Kafulila

Mkosamali

Zitto

Ni vijana wenye uwezo mzuri lakini maslahi yanawatesa
 
Upo sahihi kabisa mkuu. Yaani Zitto hakuona kabisa kwamba kwa umri wake mdogo, na kwa dini yake, na kwamba ni mtu wa Kigoma,....
Zitto CHADEMA kilimwamini na kumheshimisha sana pengine kuliko hata ACT wazalendo wanavyomwamini ila he took a wrong adviser.

Kitila Mkumbo ruined Zitto's political career by turning him into a political busy body.
 
Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud

Act wasilalamike haya walijitakia
 
Sina ukabila lakini watu wa Kigoma huwa siwaamini.
Wana uwezo mzuri lakini wako kimaslahi zaidi.
Kafulila
Mkosamali
Zitto
Ni vijana wenye uwezo mzuri lkn maslahi yanawatesa
Trends

1. Walid Kaburu katibu mkuu wa zamani wa CHADEMA alifukuzwa chama kwa similar issue.

2. David Kafulila aligombana na wana NCCR Mageuzi wenzake for similar issues.

3. Zitto Kabwe aligombana na wenzake CHADEMA for similar issues.

Kwanini??
 
Act wasilalamike haya walijitakia
Siyo Masoud,hakuwa hata kwenye vikao vyao vya ndani.walimpendekeza wakamfuata kumuomba jina lipelekwe kwa Mwinyi.
Alivyo huyu ndugu anaweza hata kujivua uanachama kwa alivyo na misimamo kwenye swala la haki na utu
 
Trends

1. Walid Kaburu katibu mkuu wa zamani wa CHADEMA alifukuzwa chama kwa similar issue.

2. David Kafulila aligombana na wana NCCR Mageuzi wenzake for similar issues.

3. Zitto Kabwe aligombana na wenzake CHADEMA for similar issues.

Kwanini??
Hawana utulivu, wanapenda waonekane wapo juu tu. Huo sio uongozi, kuna wakati unahitajika kuwa mnyenyekevu ili watu watamani kuongozwa na wewe na sio wewe kutamani kuongoza kwa utashi wako
 
Hawana utulivu, wanapenda waonekane wapo juu tu...
Lakini kwenye vyama vya siasa wanafaa sana kuwepo ili watumike kupush agenda kwa sababu ni wazuri sana katika public speaking.
 
Japo hawafai kwa position kubwa kwani ni rahisi kuua au kuyumbisha chama
 
Yes na wanapenda kulazimisha misimamo yao.

Probably kuingia serikali ya umoja wa kitaifa kule Zanzibar huenda ilikuwa ni influence ya Zitto na siyo Maalim Seif
Maalim seif pia ni aina ya kina Zitto pia, ilikiwa aibu kwake kuingia serikali ya UK wakati waathirika wa Oct 27 wako hoi mahospitalini, haikuwa utu, ilionyesha ulaku wa madaraka zaidi.
Nilipewa historia ya Maalim nikiwa Zanz na mjeda mmoja kuwa ndiye Aliyemchoma Jumbe kwa Nyerere, na Nyerere naye alikosa imani na Maslim tangia wakati huo ikawa siri Nyeti za nchi hapewi akiitwa ni mbea hana kifua na ana uchu wa madaraka, Alijua akimchoma Jumbe basi yeye ndiye atateuliwa kuchukua nafasi yake.
Unajua kwanini system haikuwa na imani naye?
Ni aina ya akina Zitto.

Nakuhakikishia Zitto hatokaa ashike wadhifa muhimu katika nchi hii.
System inamjua kuwa ni bwana maslahi.
Akipata sana labda uwaziri au unaibu waziri tu.

Post hii na iishi siku moja itadhihiri
 
Tukio la kuingia serikali ya kitaifa lilikuwa la kushangaza sana
 
Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud

Ujumbe huu umfikie Amos Makala RC wa Dar
 
Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud

Hii ndoa ya Zitto na CCM inaenda kuvunjika
 
Othman Masoud Mtu Makini sana asiyeendana na Siasa za Njaa, kujipendekeza na Maslahi za ACT.
Othman Masoud ni type ya Lissu, hayuko Comaptible kabisa na Zitto na ACT (Alliance For Cowards & Traitors) yake
Baada ya kusoma mtazamo wako nimejikuta namkumbuka Amsterdam na ahadi zake kuhusu tz
 
Back
Top Bottom