Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Nondo alitumia haki yake kikatiba km demokrasia inavyoelekeza sidhan km ni busara kumnanga kwa maamuz ya kuchagua upandeNondo ndio damu halisi ya ukabila, alitetewa sana cdm lkn alipokuwa huru akamfuata ndg yake zz