TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

RIP mpendwa Maalim. Allah akufanyie wepesi ktk safari yako ya mwisho.
 
Kwenye Siasa za Znz, Maalim Seif alikuwa ni sawa na Bahari isiyo na pwani, nashangaa unajipa umwamba wa kunfunda Siasa Marehemu
 
Kaingia mwenyewe kwenye mitq 18, unadhani jiwe afanyeje?. (Kajiinguza mwenyewe kwenye nyavu kwanini asivuliww?)
 
Wale wazee wa Suti nyeusi walishamfanyizia muda mrefu
lilikuwa ni swala la muda tu.
.com ziunganishwe.
 
Pumzika salama,Kazi umeimaliza Mzee wetu.
 
R.I.P

Watu wengine wagumu kuelewa somo acha kuangalia vijana wanaoenda kushinda kwenye fiesta. We kama umri wako 65+ ukikumbana na COVID kuchomoka mtihani.

Unaona viongozi wengine wenye umri huo hawana habari JK na Mkukicha naona ndio wameingia chaka kujificha, wengine wala hawana habari.

Yetu macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…