TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

Yaani pamoja na umaarufu wake wote na heshima yake yote nilidhani angalau kaburi lingesakafiwa safi kabisa na mashine maalumu ya kuteremsha mwili kama tunavyoona kwa viongozi wengine ni tofauti kabisa na matarabio yangu nilivyokuwa nawaza.
Ukalazwe pahali pema peponi maalim
Screenshot_2021-02-18-20-06-21.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao soldiers kuna wakati walikuwa hawajavaa barakoa sasa hapo wamevaa hii ni kumaanosha nini tahadhari nusunusu?
 
Binadamu yaan hatuna thamani kabisa basi tu kibri kinatutawala nafikir.
 
Japo mimi sio Muislam ila nimehudhuria misiba mingi ya ndugu zangu waislam hua wanazika bila kujengea maana kuna kitu kinaitwa mwanandani ndo marehemu hulazwa hapo na juu wanaweka miti ama mbao na majani. Hua hakuna cha cement sijajua labda waje watusaidie wao
 
Yaani pamoja na umaarufu wake wote na heshima yake yote nilidhani angalau kaburi lingesakafiwa safi kabisa na mashine maalumu ya kuteremsha mwili kama tunavyoona kwa viongozi wengine ni tofauti kabisa na matarabio yangu nilivyokuwa nawaza.
Ukalazwe pahali pema peponi maalimView attachment 1705710

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana hawa ndio tamaduni yao, hawana marembo
 
Japo mm sio muislam ila nimehudhuria misiba mingi ya ndugu zangu waislam hua wanazika bila kujengea maana kuna kitu kinaitwa mwanandani ndo marehemu hulazwa hapo na juu wanaweka miti ama mbao na majani .Hua hakuna cha cement sijajua labda waje watusaidie wao
Sehemu mwili wa binaadamu unapoingia kwenye ardhi kwa upana ni kiasi cha urefu wa kiganja tu (nyanda moja) eneo jingine linalobaki litatumiwa na wengine
 
Upuuzi wangejenga tiles pia ungekuja kuandika Ginimbi alivyokuwa na jeneza la thamani pia mulisema Hakuna kitu kitafanywa munakosa kusema.
 
Mzee wa miaka 79 kufa imekuwa ajabu tangu lini? Mbona mnamkufuru Mungu wenu?
 
Innalilah wainnailaihi rajiuun.
maalim hakuacha pengo ameacha mapengo,kubwa ambalo alikuwa akilipigania dhidi ya uhai wake ni kuwaweka pamoja WaZanzibari na hakuwacha kuwausia jambo hilo na kama amefanikiwa basi ameondoka Duniani akiwaachia WaZanzibar zawadi ndani ya umoja na mashikamano.

Tunaweza kusema kukubali kuingia kwake ndani ya serikali ya Umoja wa Kitaifa ni uwezo wa ALLAH kumtimizia ahadi yake aliyokuwa akiitamani muda wa uhai wake,Maalim ameondoka amewacha WaZanzibari ndani ya furaha na matumaini mapya.Amewaacha pale ambapo alitamani.
...
 
tukiwaambia zitto ni snitch muwe mnaelewaa, yaani alimwacha maalimu atibiwe na jiwe na serikali yake?? apo unategema nini? kama siyo 'assassination' ila mwenyezi Mungu naye ni mjuzi kweli kweli siku ya mwisho akamkunyunga na jiwe vile vile
 
Back
Top Bottom