Korona itatumalizaNi ile CORONA iliyotajwa na ACT au kachukuliwa na ugonjwa mwingine!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Korona itatumalizaNi ile CORONA iliyotajwa na ACT au kachukuliwa na ugonjwa mwingine!!
Yaani pamoja na umaarufu wake wote na heshima yake yote nilidhani angalau kaburi lingesakafiwa safi kabisa na mashine maalumu ya kuteremsha mwili kama tunavyoona kwa viongozi wengine ni tofauti kabisa na matarabio yangu nilivyokuwa nawaza.
Ukalazwe pahali pema peponi maalimView attachment 1705710
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu mwili wa binaadamu unapoingia kwenye ardhi kwa upana ni kiasi cha urefu wa kiganja tu (nyanda moja) eneo jingine linalobaki litatumiwa na wengineJapo mm sio muislam ila nimehudhuria misiba mingi ya ndugu zangu waislam hua wanazika bila kujengea maana kuna kitu kinaitwa mwanandani ndo marehemu hulazwa hapo na juu wanaweka miti ama mbao na majani .Hua hakuna cha cement sijajua labda waje watusaidie wao
...Innalilah wainnailaihi rajiuun.
maalim hakuacha pengo ameacha mapengo,kubwa ambalo alikuwa akilipigania dhidi ya uhai wake ni kuwaweka pamoja WaZanzibari na hakuwacha kuwausia jambo hilo na kama amefanikiwa basi ameondoka Duniani akiwaachia WaZanzibar zawadi ndani ya umoja na mashikamano.
Tunaweza kusema kukubali kuingia kwake ndani ya serikali ya Umoja wa Kitaifa ni uwezo wa ALLAH kumtimizia ahadi yake aliyokuwa akiitamani muda wa uhai wake,Maalim ameondoka amewacha WaZanzibari ndani ya furaha na matumaini mapya.Amewaacha pale ambapo alitamani.