Makamu wa Rais aondoka kwenda Papua New Guinea kumuwakilisha Magufuli

Makamu wa Rais aondoka kwenda Papua New Guinea kumuwakilisha Magufuli

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kwenda Papua New Guinea ambako atamwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika,Caribbean na Pacific (ACP) ambao utafanyika kuanzia Mei 30 hadi Juni 01, mwaka huu.

1.jpg
 
Hivi mikutano/deliberations za nchi zetu hizi kapuku zina athali gani kwa dunia. Maana G7, EU wakifanya mikutano yao, dunia nzima huwa zinasuburi kuona litatoka azimio gani na athali zipi zitakuwepo duniani
 
Vzr magu kwa kumpa huyu mama kipaumbele kutuwakilisha
 
Vasco hizo alikuwa hagawi pasi hata iweje ataziunga huko kwa huko! Arudi July hapa! Jamaa amezunguka dunia hii miaka 20 ameimaliza na kuiridia mara 3 kila sehemu!
Vascoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mitoko sasa imezidi sana kila siku, hakuna tofaut na Jk
 
Lugha ni janga kwa mheshimiwa atazingizia ana majukumu mengi
Wewe umeandika kwa lugha gani?

Ni wapi Rais amesema haendi kwa sababu ana majukumu mengi?

Kwa hiyo unataka kutuambia Marais wote ambao hawatahudhuria watakuwa tatizo ni lugha?

Huu ujinga na upumbavu mnaununulia wapi ambako wengine hatulioni hilo duka?
 
Back
Top Bottom