Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 20,292
- 24,746
Safari 465 kw nchi 153....nadhani inawez ikawa niko sawa labda zile wa waziri wa mambo nje hazipo hapo!!! AhhahahahahaWasiwasi wangu ni kama umempunja mwenzio
Safari 465 kw nchi 153....nadhani inawez ikawa niko sawa labda zile wa waziri wa mambo nje hazipo hapo!!! AhhahahahahaWasiwasi wangu ni kama umempunja mwenzio
Labda Mkuu anapenda maua ya plastic kama hayoMkuu na wewe umestukia! Dah! Hao ndio wapambaji wetu Mkuu; wapambaji wa Ofisi No. 1. Sioni sababu ya kuweka likichaka la maua hapo mezani hadi linawaficha wahusika. By the way nina uhakika ukimuuliza huyo mpambaji kwanini kaweka maua ya rangi hiyo nina uhakika hajui ni kwanini.
Kwa nini watumie passport za Indonesia? Hao watakuwa siyo watu wa PNG bali Iryan Jaya
Kwa nini watumie passport za Indonesia? Hao watakuwa siyo watu wa PNG bali Iryan Jaya[/QUOTE
Karibia nikamlishe mipango kupata jiko toka fakfak mkuu😀😀
Halafu nyie ukoo wenu karibia wote mpo kama mmepagawa vile.Lugha ni janga kwa mheshimiwa atazingizia ana majukumu mengi
Nonsense, Ian Khama Rais wa Botswana ni halfcaste wa kiingereza, kidhungu ni lugha yake ya kwanza lakini huwa harukiruki hovyohovyo kwenda majuu, anasema ni kupoteza muda na pesa za walipa kodi na kuchosha mwili bure. Imagine safari ya Papua New Guinea kwenda na kurudi ni siku 4; kikao chenyewe siku moja na nusu! ulimbukeni wa kurukaruka na kibakuli, kukimbia majukumu magumu kwa kisingizio cha UMAHIRI wa kuombaomba misaada tumwachie Vasco da Gama II wa Tanzania
Good job keep us informed on the dev.
Nadhani sio lugha kihivyo si anaweza kuamua kukaa kimya? Inasemekana haruhusiwi kusafiri umbali mrefu kwa ndege!Lugha ni janga kwa mheshimiwa atazingizia ana majukumu mengi