Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
Afadhali makochi hayo hapo yanavutia kuliko yale mengine anapokelea wageni mara nyingi.
Wewe umeandika kwa lugha gani?
Ni wapi Rais amesema haendi kwa sababu ana majukumu mengi?
Kwa hiyo unataka kutuambia Marais wote ambao hawatahudhuria watakuwa tatizo ni lugha?
Huu ujinga na upumbavu mnaununulia wapi ambako wengine hatulioni hilo duka?
Kuna nchi zingine ni zaidi ya mara 3 mkuu, ungesema minimum mara 3 kila sehemu.Vasco hizo alikuwa hagawi pasi hata iweje ataziunga huko kwa huko! Arudi July hapa! Jamaa amezunguka dunia hii miaka 20 ameimaliza na kuiridia mara 3 kila sehemu!
Nonsense, Ian Khama Rais wa Botswana ni halfcaste wa kiingereza, kidhungu ni lugha yake ya kwanza lakini huwa harukiruki hovyohovyo kwenda majuu, anasema ni kupoteza muda na pesa za walipa kodi na kuchosha mwili bure. Imagine safari ya Papua New Guinea kwenda na kurudi ni siku 4; kikao chenyewe siku moja na nusu! ulimbukeni wa kurukaruka na kibakuli, kukimbia majukumu magumu kwa kisingizio cha UMAHIRI wa kuombaomba misaada tumwachie Vasco da Gama II wa TanzaniaLugha ni janga kwa mheshimiwa atazingizia ana majukumu mengi
Of course huku PNG sio dili kwenda na hiyo jumuia haina umuhimu sana kwetu, ingawa tunasubiri kwa hamu siku ambayo hatimaye raisi wetu ataenda "Kwa wazungu"
haha [emoji23] mkuu hivi unawajua watu wa PNG walivyo mkuu au unawasikia tu?umewahi kuwaona? duuh Hongera sana kama umeopoa "chombo" huko ila daah wale watu wanafanana aiseee...hujui mke wala mume ....na ile morphology yao ......Mkuu uko PNG? Nina demu wangu yuko hapo Port Moresby[emoji12]
Hivi mikutano/deliberations za nchi zetu hizi kapuku zina athali gani kwa dunia. Maana G7, EU wakifanya mikutano yao, dunia nzima huwa zinasuburi kuona litatoka azimio gani na athali zipi zitakuwepo duniani
haha [emoji23] mkuu hivi unawajua watu wa PNG walivyo mkuu au unawasikia tu?umewahi kuwaona? duuh Hongera sana kama umeopoa "chombo" huko ila daah wale watu wanafanana aiseee...hujui mke wala mume ....na ile morphology yao ......
Hayo maua walomwekea kwenye meza duh!
Ni kweli mkuu labda average ni mara 3....Kuna nchi zingine ni zaidi ya mara 3 mkuu, ungesema minimum mara 3 kila sehemu.
Kwa nini watumie passport za Indonesia? Hao watakuwa siyo watu wa PNG bali Iryan JayaSidhani kama wanafanana sana.nina marafiki wengi toka Papua na hawafanani hata kidogo.wanatumia passport ya indonesia ,ni kama Tanganyika na Zanzibar.ni moja ya jamii za watu weusi katika bara la Asia
Wasiwasi wangu ni kama umempunja mwenzioNi kweli mkuu labda average ni mara 3....
Poor comment, kujua kiingereza sio sifakwa sasa ziara za nje kaachiwa makamu wa rais na waziri mkuu. ngosha kidhuungu ni shiiidah...