Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

Ccm ni takataka. Na mashoga na mabasha wengi wanalipwa kodi zetu. HASA PALE DODOMA.
Namalizia kufanya Upelelezi wangu Binafsi nasikia kuna Taasisi Moja Kubwa tu na inayoheshimika na hata Kuogopwa Tanzania kuna huu Upuuzi na Upumbavu mkubwa kwa Watendaji wake ili wapate Safari nyingi za kwenda Nje, Kupata Cheo au kuwekwa katika Vitengo vya Pesa.

Na aliyenipa Tip hi ni wa huko huko.
 
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema kuwa hali ya Ushoga nchini Tanzania sasa imefikia pabaya na kutaka Jamii Kubadilika na Kuimarisha Maadili ya Mtanzania.

Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo.

Mama na Wewe sasa sema Kitu tu!!!
Mbona alishasemaga kwenye hotuba zake 🤔
 
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema kuwa hali ya Ushoga nchini Tanzania sasa imefikia pabaya na kutaka Jamii Kubadilika na Kuimarisha Maadili ya Mtanzania.

Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo.

Mama na Wewe sasa sema Kitu tu!!!
Jamii imeshashindwa ndiyo maana hali imefika hapo ilipo. Inahitajika serikali ipeleke muswada bungeni, matamko yametosha.
 
Namalizia kufanya Upelelezi wangu Binafsi nasikia kuna Taasisi Moja Kubwa tu na inayoheshimika na hata Kuogopwa Tanzania kuna huu Upuuzi na Upumbavu mkubwa kwa Watendaji wake ili wapate Safari nyingi za kwenda Nje, Kupata Cheo au kuwekwa katika Vitengo vya Pesa.

Na aliyenipa Tip hi ni wa huko huko.
Finish Fast and Bring It !!!
 
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema kuwa hali ya Ushoga nchini Tanzania sasa imefikia pabaya na kutaka Jamii Kubadilika na Kuimarisha Maadili ya Mtanzania.

Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo.

Mama na Wewe sasa sema Kitu tu!!!
Yaani Tanzania na baadhi ya watanzania ni bure kabisa, sasa rais asemeje kwani ni janga la taifa hili, taasisi za dini za watu husika zipi, tupitishe sensa tujue wa dini ipi wako wengi na tutawatambua kwa majina yao, then hatua zichukuliwe
 
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema kuwa hali ya Ushoga nchini Tanzania sasa imefikia pabaya na kutaka Jamii Kubadilika na Kuimarisha Maadili ya Mtanzania.

Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo.

Mama na Wewe sasa sema Kitu tu!!!
Hivi Mashoga na mnaowala Mashoga Huwa ni wazimu au mnakuwa mmepatwa na nini hasa?

Huyo anaesema Hali ni mbaya amewaona wapi? Kwamba Kuna Watumishi au viongozi wa siasa ni Mashoga?

Nani anaweza nithibitishia hili maana Mimi Kwa umri wangu sijawahi shuhudia Kwa macho hapa Tanzania zaidi ya kuambiwa kama hivi unless Huwa Kuna maeneo maalumu nao wanajiuza kama wanawake lakini hata huko sijawahi ona na sitaki kuona maana nitasikitika sana.
 
1. Ni mwalimu wa chuo kikubwa kabisa cha elimu ya juu pale Dodoma.
2. Dr pale Dodoma kwenye hospitali ya sirikali kubwa iliyopo katikati ya mji.
3. MD kwenye shirika moja kubwa linalo heshimika lenye makao makuu yake maeneo ya mikocheni.
4. Huyu anaitwa Prince, sijawahi kujua anafanya nini lakini anapendelea sana Platinum Bar pale area C.
Na hao wote ni watu wanajiweza kifedha tena sio watu ambao wanajiombeleza vinywaji kama akina sisi tukiwa bar.
 
Ni habari ya kushitua kwa kiongozi wa juu kukiri kuwepo kwa mapenzi ya jinsia moja. Maana yake kuna tatizo hilo miongoni mwa jamii na wanashangaa mahusiano hayo. Niwaombe msimuingize mama mkenge naye akataoa kauli kisha ikahamia bungeni kutungiwa sheria kuwatia korokoroni wapenzi hao.

Tunahofia nchi yetu isije ikawekewa vikwazo vya uchumi kuwa inakadamiza haki za binadamu kwa kuingilia faragha zao. Habari za mashoga nimeanza kuzisoma miaka 20 ishirini iliyopita, tena mashoga yakijiremba kama wanawake na kushiriki shughuli za burudani hadharani hasa muziki wa taarabu na kitchen part. Kulikuwa na mashoga maarufu yale majina yao yalianza na title aunt ...

Ina maana serikali haikuona wapenzi hao miaka hiyo? Sasa nini kinawafanya washangae uwepo wa mashoga wakati wapo muda mrefu? Yaani hapa wanaukoleza badala ya kuufifisha. Hebu wasitake kukwaruzana na marekani na washirika wake wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja. Mambo mengine unasukumiwa uingie kingi ili msimamo wako ujulikane, ni mtego wa kuepukwa.
 
Watunge Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na mambo hayo, sio wanakemea tu lakini Sheria hawatungi, mbona Museven ameweza kutunga Sheria?
Sisi tunaishia kunong'ona tu, wasipotunga Sheria maana yake wanaunga mkono mambo haya maovu
 
Back
Top Bottom