Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

Namalizia kufanya Upelelezi wangu Binafsi nasikia kuna Taasisi Moja Kubwa tu na inayoheshimika na hata Kuogopwa Tanzania kuna huu Upuuzi na Upumbavu mkubwa kwa Watendaji wake ili wapate Safari nyingi za kwenda Nje, Kupata Cheo au kuwekwa katika Vitengo vya Pesa.

Na aliyenipa Tip hi ni wa huko huko.
Wataje acha kuuma uma maneno na kula kucha Kama kabinti ka miaka 14 kanatongozwa na mwalimu wake.
 
Back
Top Bottom