Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

Kama alivosema mdau hapo juu, mafanikio yatakua makubwa sana kama tukiamua kudeal na hawa mashoga kimya kimyaaaa, yan washangae tu jamii ipo kimya hatuwabugudhi wala kuwanyoshea vidole, yn tunaipukutisha idadi yao kimya kimya! Wajikute tu wanaisha taratibu bila hata kuelewa yn. Nadhan nimeeleweka
 
Mkuu, kwani wao wanaeneza au wanataka tu haki zao? inabidi utofautishe hapo.

Mbona hakuna jitihada za kukutoa wewe huko kwenye heterosexuality? Ni kwasababu uhuru wako unaheshimiwa.

Kwanini na wewe usiheshimu uhuru wao?
As long as haikuathiri wewe kwenye maisha yako?
Tofautisha kati ya

Human right abuse na
Limitation of human right.

Mtu akijinyonga ikitokea kapona anashtakiwa
Kuvuta bangi ni kosa
Kutumia madawa ya kulevya ni kosa
Ushoga ni kosa

Hata kama haimuathiri mtu mwingine ila ni kinyume cha utaratibu wa kimaumbile.msijifiche kwenye mgongo wa haki wakati kuna vingi tu vinazuiwa

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
yn tunaipukutisha idadi yao kimya kimya! Wajikute tu wanaisha taratibu bila hata kuelewa yn. Nadhan nimeeleweka
HAKUNAGA HIYO AINA YA COVERT OPERATION.

COVERT OPERATIONS HUWA ZINAFANYWA KWA EXTREME CASES ZINAZOHATARISHA USALAMA WA NCHI KAMA MASHAMBULIZI YA UGAIDI AU COUNTER-INTELLIGENCE SCENARIOS.

HUWEZI KUITUMIA SERIKALI KUWAUA WATU WALIOAMUA KUTAFUNANA VINYEO VYAO KWA RIDHAA YAO WENYEWE.

ULAJI WA VINYEO SI TAKWA LA SERIKALI, NI TAKWA LA WATU WAWILI KATIKA FARAGHA YAO.
 
Kwani hatumuoni museven anachofanya nchini kwake hii dhambi hata shetan kakaa pembeni hataki kushirik
 
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema kuwa hali ya Ushoga nchini Tanzania sasa imefikia pabaya na kutaka Jamii Kubadilika na Kuimarisha Maadili ya Mtanzania.

Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo.

Mama na Wewe sasa sema Kitu tu!!!

====

Mpango: Hali mbaya mmomonyoko maadili

MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema hali ya mmomonyoko wa maadili, inazidi kuwa mbaya huku akikemea ndoa za jinsia moja.

Kutokana na hali hiyo, amewasisitiza wazazi kuwalea watoto wao katika maadili ya Kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayoonyeshwa kwenye televisheni.

Dk. Mpango amesema kwa sasa kumekuwapo na mmomonyoko wa maadili, ikiwamo ndoa za jinsia moja na kuwataka wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kukemea vikali, ili kuondokana na taifa lisilofaa kwa vizazi vya sasa na baadaye.

Alisema hayo jana wakati akizungumza na waumini wa kijiji cha Kasumo mkoani Kigoma baada ya kushiriki ibada ya kawaida ya katikati ya wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani lililoko kijijini hapo.

Makamu wa Rais aliwataka wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika televisheni.

“Paroko hili ni zito, gumu kweli. Maadili ya nchi yetu yameporomoka sana. Hayo masanamu uliyokuwa ukituhubiria yamejaa, yamekuwa mengi kupindukia na mengine hata kuyasema ni ngumu. Mimi niliyezaliwa katika kijiji hiki naogopa, ndoa za wanaume wawili, ndoa za wanawake wawili mliziona wapi? Hata wanyama hawafanyi hivyo,” alisema.

“Kwa hiyo nawasihini sana, najua nyumbani kuna televisheni, mchague watoto, vijana wanaangalia nini, vinginevyo tutakuwa na taifa la ajabu kabisa,” alisisitiza.

Ibada hiyo ilihudhuriwa pia na mke wake, Mama Mbonimpaye Mpango na kuongozwa na Paroko wa Parokia hiyo, Padre Joseph Mashaka.

CHANZO: Nipashe
Huu ujinga utauacha lini kushikiwa akili kuambiwa kua Ushoga ni mbaya ..acha Siasa fanya kazi
 
Hivi hawa mashoga huwa mnakutana nao wapi? mi naona kama haya mambo mnayakuza sana tofauti na uhalisia.
We utembei kweli, mi kwa Mara ya kwanza shoga nilimuona dar magomeni mapipa, wa pili kagera, Kama Moro Kuna lishoga Eriki linapita linajichetua watu wanalizonga likifika mbele linakatika linajitingisha mitako.
 
Kwani hatumuoni museven anachofanya nchini kwake
MUSEVEN MWENYEWE KASHATEPETA.

TANGU JANA ALIPOPIGWA MKWARA NA MABEBERU KATOKOMEA SHIMONI.
FB_IMG_16796421989204071.jpg
 
We utembei kweli, mi kwa Mara ya kwanza shoga nilimuona dar magomeni mapipa, wa pili kagera, Kama Moro Kuna lishoga Eriki linapita linajichetua watu wanalizonga likifika mbele linakatika linajitingisha mitako.
ACHANA NAO. USIWAFUATE.

NO MARAAA WAAAAT, HATA KAMA UNAWACHUKIA KIASI GANI, HAITUPATII UHALALI WA SISI KUWAUA AU KUWAFUNGA JELA.

HAWAJADHURU MTU, WALA HAWAJAIBA MALI YA MTU. UNARUHUSIWA KUWACHUKIA, LAKINI KIMOYO MOYO.

UKIZIDHIHIRISHA CHUKI ZAKO KWA KUWATENDEA VITENDO VYA ZIADA VYA KUWAUMIZA, TUTAKUVAA.

WAACHENI, WANASTAHILI KUISHI DUNIANI KAMA BINADAMU WENGINE.
 
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema kuwa hali ya Ushoga nchini Tanzania sasa imefikia pabaya na kutaka Jamii Kubadilika na Kuimarisha Maadili ya Mtanzania.

Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo.

Mama na Wewe sasa sema Kitu tu!!!

====

Mpango: Hali mbaya mmomonyoko maadili

MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema hali ya mmomonyoko wa maadili, inazidi kuwa mbaya huku akikemea ndoa za jinsia moja.

Kutokana na hali hiyo, amewasisitiza wazazi kuwalea watoto wao katika maadili ya Kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayoonyeshwa kwenye televisheni.

Dk. Mpango amesema kwa sasa kumekuwapo na mmomonyoko wa maadili, ikiwamo ndoa za jinsia moja na kuwataka wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kukemea vikali, ili kuondokana na taifa lisilofaa kwa vizazi vya sasa na baadaye.

Alisema hayo jana wakati akizungumza na waumini wa kijiji cha Kasumo mkoani Kigoma baada ya kushiriki ibada ya kawaida ya katikati ya wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani lililoko kijijini hapo.

Makamu wa Rais aliwataka wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika televisheni.

“Paroko hili ni zito, gumu kweli. Maadili ya nchi yetu yameporomoka sana. Hayo masanamu uliyokuwa ukituhubiria yamejaa, yamekuwa mengi kupindukia na mengine hata kuyasema ni ngumu. Mimi niliyezaliwa katika kijiji hiki naogopa, ndoa za wanaume wawili, ndoa za wanawake wawili mliziona wapi? Hata wanyama hawafanyi hivyo,” alisema.

“Kwa hiyo nawasihini sana, najua nyumbani kuna televisheni, mchague watoto, vijana wanaangalia nini, vinginevyo tutakuwa na taifa la ajabu kabisa,” alisisitiza.

Ibada hiyo ilihudhuriwa pia na mke wake, Mama Mbonimpaye Mpango na kuongozwa na Paroko wa Parokia hiyo, Padre Joseph Mashaka.

CHANZO: Nipashe
Mkome kumlisha rais Samia maneno.
 
We utembei kweli, mi kwa Mara ya kwanza shoga nilimuona dar magomeni mapipa, wa pili kagera, Kama Moro Kuna lishoga Eriki linapita linajichetua watu wanalizonga likifika mbele linakatika linajitingisha mitako.
Kawe Ukwamani kuna Shoga Maarufu aitwae Micky mwaka Jana alianza kutaka Kunishobokea ila tokea anishuhudie nikimuadabisha Kibaka Mtaani Kikatili / Kishalubela na kuambiwa na Watu kuwa natokea Mkoa wa Wanamume ( wa Mara ) hajanisumbua tena hivi leo na ana bahati sana kwani kwa ambacho nilipanga Kumfanyia ndiyo angejua kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo na kwanini Nyoka hana Ugoko kama Yeye.
 
1. Ni mwalimu wa chuo kikubwa kabisa cha elimu ya juu pale Dodoma.
2. Dr pale Dodoma kwenye hospitali ya sirikali kubwa iliyopo katikati ya mji.
3. MD kwenye shirika moja kubwa linalo heshimika lenye makao makuu yake maeneo ya mikocheni.
4. Huyu anaitwa Prince, sijawahi kujua anafanya nini lakini anapendelea sana Platinum Bar pale area C.
Na hao wote ni watu wanajiweza kifedha tena sio watu ambao wanajiombeleza vinywaji kama akina sisi tukiwa bar.
Wewe ulijuaje hao watu ni mashoga au unatumia kiashiria gani kujua huyu mtu ni shoga?
 
Back
Top Bottom