Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika televisheni.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akizungumza na waumini wa Kijiji cha Kasumo mkoani Kigoma mara baada ya kushiriki Ibada ya kawaida ya katikati ya wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani iliopo Kijiji hapo.

Dkt Mpango amehoji SUALA LA NDOA ZA WANAUME KWA WANAUME, AU WANAWAKE KWA WANAWAKE AKISISITIZA HATA WANYAMA HAWAFANYI HIVYO HUKU AKIWATAKA WAZAZI KUSIMAMIA WANAYOANGALIA WATOTO MITANADONI VINGINEVYO TUTAKUWA NA TAIFA LA AJABU.

===
Mpango: Hali mbaya mmomonyoko maadili

MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema hali ya mmomonyoko wa maadili, inazidi kuwa mbaya huku akikemea ndoa za jinsia moja.

Kutokana na hali hiyo, amewasisitiza wazazi kuwalea watoto wao katika maadili ya Kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayoonyeshwa kwenye televisheni.

Dk. Mpango amesema kwa sasa kumekuwapo na mmomonyoko wa maadili, ikiwamo ndoa za jinsia moja na kuwataka wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kukemea vikali, ili kuondokana na taifa lisilofaa kwa vizazi vya sasa na baadaye.

Alisema hayo jana wakati akizungumza na waumini wa kijiji cha Kasumo mkoani Kigoma baada ya kushiriki ibada ya kawaida ya katikati ya wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani lililoko kijijini hapo.

Makamu wa Rais aliwataka wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika televisheni.

“Paroko hili ni zito, gumu kweli. Maadili ya nchi yetu yameporomoka sana. Hayo masanamu uliyokuwa ukituhubiria yamejaa, yamekuwa mengi kupindukia na mengine hata kuyasema ni ngumu. Mimi niliyezaliwa katika kijiji hiki naogopa, ndoa za wanaume wawili, ndoa za wanawake wawili mliziona wapi? Hata wanyama hawafanyi hivyo,” alisema.

“Kwa hiyo nawasihini sana, najua nyumbani kuna televisheni, mchague watoto, vijana wanaangalia nini, vinginevyo tutakuwa na taifa la ajabu kabisa,” alisisitiza.

Ibada hiyo ilihudhuriwa pia na mke wake, Mama Mbonimpaye Mpango na kuongozwa na Paroko wa Parokia hiyo, Padre Joseph Mashaka.

CHANZO: Nipashe
 
Samia ana akili Sana hakurupuki Kama yule,,,anawatumia watu wa chini kutoa statements ambazo anaona zitamgombanisha na mataifa ya ulimwengu wa Kwanza!! Huo ndio uongozi akili nyingi nguvu kidogo
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika televisheni.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akizungumza na waumini wa Kijiji cha Kasumo mkoani Kigoma mara baada ya kushiriki Ibada ya kawaida ya katikati ya wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani iliopo Kijiji hapo.

Dkt Mpango amehoji SUALA LA NDOA ZA WANAUME KWA WANAUME, AU WANAWAKE KWA WANAWAKE AKISISITIZA HATA WANYAMA HAWAFANYI HIVYO HUKU AKIWATAKA WAZAZI KUSIMAMIA WANAYOANGALIA WATOTO MITANADONI VINGINEVYO TUTAKUWA NA TAIFA LA AJABU.

Sheria zipo kama wana nerves watekereze hizo sheria sio kutafuta cheap populality za kisiasa.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika televisheni.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akizungumza na waumini wa Kijiji cha Kasumo mkoani Kigoma mara baada ya kushiriki Ibada ya kawaida ya katikati ya wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani iliopo Kijiji hapo.

Dkt Mpango amehoji SUALA LA NDOA ZA WANAUME KWA WANAUME, AU WANAWAKE KWA WANAWAKE AKISISITIZA HATA WANYAMA HAWAFANYI HIVYO HUKU AKIWATAKA WAZAZI KUSIMAMIA WANAYOANGALIA WATOTO MITANADONI VINGINEVYO TUTAKUWA NA TAIFA LA AJABU.
Hakuna ndoa za jinsia moja Tanzania wala Afrika, labda South Afrika, kuna ngono za jinsia moja, wakamateni wahusika na washitakiwe kwa mujibu wa sheria zilizopo tangu enzi ya mkoloni, siyo kukemea tu majukwaani wakati wahusika wa wanatamba na kujitangaza mitaani hadi mitandaoni.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika televisheni.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akizungumza na waumini wa Kijiji cha Kasumo mkoani Kigoma mara baada ya kushiriki Ibada ya kawaida ya katikati ya wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani iliopo Kijiji hapo.

Dkt Mpango amehoji SUALA LA NDOA ZA WANAUME KWA WANAUME, AU WANAWAKE KWA WANAWAKE AKISISITIZA HATA WANYAMA HAWAFANYI HIVYO HUKU AKIWATAKA WAZAZI KUSIMAMIA WANAYOANGALIA WATOTO MITANADONI VINGINEVYO TUTAKUWA NA TAIFA LA AJABU.
Hapa tayari Makamu mwenyewe shatangaza kwa jamii, hata hao watoto hilo lisilotakiwa kuwepo.

Unapolitaja tu, katika hadhara yoyote ile, tayari umelipa 'promo' hilo jambo.

Siyo lazima liwe kwenye televisheni au kwingineko.
 
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema kuwa hali ya Ushoga nchini Tanzania sasa imefikia pabaya na kutaka Jamii Kubadilika na Kuimarisha Maadili ya Mtanzania.

Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo.

Mama na Wewe sasa sema Kitu tu!!!

====

Mpango: Hali mbaya mmomonyoko maadili

MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema hali ya mmomonyoko wa maadili, inazidi kuwa mbaya huku akikemea ndoa za jinsia moja.

Kutokana na hali hiyo, amewasisitiza wazazi kuwalea watoto wao katika maadili ya Kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayoonyeshwa kwenye televisheni.

Dk. Mpango amesema kwa sasa kumekuwapo na mmomonyoko wa maadili, ikiwamo ndoa za jinsia moja na kuwataka wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kukemea vikali, ili kuondokana na taifa lisilofaa kwa vizazi vya sasa na baadaye.

Alisema hayo jana wakati akizungumza na waumini wa kijiji cha Kasumo mkoani Kigoma baada ya kushiriki ibada ya kawaida ya katikati ya wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani lililoko kijijini hapo.

Makamu wa Rais aliwataka wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika televisheni.

“Paroko hili ni zito, gumu kweli. Maadili ya nchi yetu yameporomoka sana. Hayo masanamu uliyokuwa ukituhubiria yamejaa, yamekuwa mengi kupindukia na mengine hata kuyasema ni ngumu. Mimi niliyezaliwa katika kijiji hiki naogopa, ndoa za wanaume wawili, ndoa za wanawake wawili mliziona wapi? Hata wanyama hawafanyi hivyo,” alisema.

“Kwa hiyo nawasihini sana, najua nyumbani kuna televisheni, mchague watoto, vijana wanaangalia nini, vinginevyo tutakuwa na taifa la ajabu kabisa,” alisisitiza.

Ibada hiyo ilihudhuriwa pia na mke wake, Mama Mbonimpaye Mpango na kuongozwa na Paroko wa Parokia hiyo, Padre Joseph Mashaka.

CHANZO: Nipashe
 
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema kuwa hali ya Ushoga nchini Tanzania sasa imefikia pabaya na kutaka Jamii Kubadilika na Kuimarisha Maadili ya Mtanzania.

Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo.

Mama na Wewe sasa sema Kitu tu!!!
mashoga wanajimwambafai hadi wanafanya matamasha. yaani ni hatari
tupewe kibali tuwaue
 
Back
Top Bottom