Makamu wa Rais Dkt Mpango azindua kituo cha upandikizaji Mimba na Gari la huduma tembezi za Afya

Makamu wa Rais Dkt Mpango azindua kituo cha upandikizaji Mimba na Gari la huduma tembezi za Afya

Gharama zikiwa juu watu watazidi kwenda Nairobi tu, kwa sasa huduma hiyo ipo hosptali kadhaa Ila watu kibao wanaenda kwa jirani.
 
mbona unasogeza magoli, gharama watamudu watakaomudu kwan kuna kulazimishwa?
we are far back 300years kuna issue muhimu sana zaidi ya hiyo ambayo tunahitaji kama watanzania walio wengi hiyo wanao mudu waifuate kule inapopatikana,after all private nyingi dar zinafanya zaidi ya mbili
 
Huyu kabakia kufungua vituo vya afya na shule ndani ya nchi hana mgongo zaidi ya hapo.
Nikategemea huyu na Kassim, kuwa ndiyo WATETEZI wa sisi WATANGANYIKA, kumbe ni MABOYA tu kwenye Serikali hii!
 
Hicho kituko hakina tija Kwa sababu watanzania wanatekwa na mapolisi.kama watu wanatekwa ni wa kinanani watahudumiwa kwenye Hivyo vituo?
 
Back
Top Bottom