Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Mpango ni kiongozi
Mnafiki
Muongo
Muoga
Mfata upepo
Kifupi hafai kua hata mwenyekiti wa serikali za mitaa tatizo ni alikalili vizuri darasani na kupata vyeti na anaonyesha kabisa kuibadilisha elimu kua maendeleo hawezi.
 
Na huo Uchumi ukikaa sawa tubadilishe tupate mwingine anayeweza kuongoza sijui wakati wa Shambulio la Nzige ?

Tatizo la kutegemea watu / mtu husababisha mwendo wa hatua mbili mbili nne nyuma....
 
Na vile hatujuani kwa hizi ID feki ukute alieandika hapa ndo huyo mpango mwenyewe..😂
Hata akiwa yeye huyu mzee maendesha miradi mikubwa na haikufikia mwisho kila siku anaishia njiani na kuja na miradi mingine huyu mzee ananikera sana
 
Na huo Uchumi ukikaa sawa tubadilishe tupate mwingine anayeweza kuongoza sijui wakati wa Shambulio la Nzige ?

Tatizo la kutegemea watu / mtu husababisha mwendo wa hatua mbili mbili nne nyuma....
Yani nilitaka niishie hapa ila lazima nichukue mpaka phd maana hawa wazee tukiwaendekeza nchi itaenda mrama hii na mimi ngoja nikalili kama wao tu
 
HUMJUI PHILLIP MPANGO HATA KIDOGO. HUYU NDIO ALIUA UCHUMI WA HII NCHI NA MAGUFULI.

SASA HIVI YEYE NA MWIGULU NDIO WASHAURI WAKUU WA CHIEF HANGAYA MAMBO YA UCHUMI. WAMESEEMA ETI LENGO LAO NI KUKUSANYA TRILIONI 2 KWA MWEZI KUTOKA KODI MBALIMBALI.

UNAKUMBUKA HOTUBA YAKE FUPI SIKU YA KUAPISHWA MAKATIBU WAKUU MARA YA KWANZA KABISA WAKATI AWAMU YA 6 INAINGIA MADARAKANI???

YAJAYO YANAHUZUNISHA!
 
Njia ya kumfanya Mpango awe Rais iko wazi.

Hata wewe binafsi ukiamua, Mpango anaapishwa.
 
Bora angebakia pale pale kwenye uwaziri wa hela ila tangu apewe ulaji hapo kwenye mjengo mweupe,mrefu jamaa yupo kimya kabisa hana jipya.Hii nyadhifa ilimfaa Majaliwa jamaa ni mtu na nusu.

Anyway;Viongozi wetu wakuu sisi tunachotaka ni maendeleo tu.

#Majaliwaforpresidency
 
Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Acha Ukabila na Ubaguzi Kijana.
 
Bora angebakia pale pale kwenye uwaziri wa hela ila tangu apewe ulaji hapo kwenye mjengo mweupe,mrefu jamaa yupo kimya kabisa hana jipya.Hii nyadhifa ilimfaa Majaliwa jamaa ni mtu na nusu.

Anyway;Viongozi wetu wakuu sisi tunachotaka ni maendeleo tu.

#Majaliwaforpresidency

Mzee wa Kilwa Kisiwani hiyo hashtag# yako inawakilisha shortcut ya 2025 ama 2026?
 
HUMJUI PHILLIP MPANGO HATA KIDOGO. HUYU NDIO ALIUA UCHUMI WA HII NCHI NA MAGUFULI.

SASA HIVI YEYE NA MWIGULU NDIO WASHAURI WAKUU WA CHIEF HANGAYA MAMBO YA UCHUMI. WAMESEEMA ETI LENGO LAO NI KUKUSANYA TRILIONI 2 KWA MWEZI KUTOKA KODI MBALIMBALI.

UNAKUMBUKA HOTUBA YAKE FUPI SIKU YA KUAPISHWA MAKATIBU WAKUU MARA YA KWANZA KABISA WAKATI AWAMU YA 6 INAINGIA MADARAKANI???

YAJAYO YANAHUZUNISHA!

Yaani yeye ndio aliua uchumi wakati wa JPM yet yeye ndio Mshauri Mkuu waSSH kwenye uchumi na mnasema JPM uchumi uliuawa na kwa SSH umeinuka. Upumbavu
 
Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Yani huyo ndio wa hovyo kabisa. Ndio alikuwa anamshauri mwendazake mambo ya hovyohovyo mpaka uchumi ukaangukia pua. Hovyo kabisa.
 
Enhe, kwahiyo tuanze yale maombi yetu yale?
 
Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Rais ni alama tu ya serikali. Haji na kila kitu kichwani mwake. Hapokei kila kitu. Hakatai kila kitu. Lazima tujue hilo.
Rais analaumiwa tu kwa kuwa ndio final say ya serikali.
Serikali inaongozwa kwa muunganiko.
Na cheo alichonacho sio kidogo.
Anaweza kushauri hapo hapo. Maoni yake yanaweza kuwa Veto kabisa.
 
nchi zote zilizoendelea ni kwasababu ya kiongozi wajuu imara, hakuna nchi iliyoendelea kwasababu ya taasisi imara wala katiba imara.
Marekani illiendelea kwasababu ya FDR, Uingereza kwasababu ya Henry VII, Russia kwasababu ya Stalin n.k
 
Back
Top Bottom