Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

nchi zote zilizoendelea ni kwasababu ya kiongozi wajuu imara, hakuna nchi iliyoendelea kwasababu ya taasisi imara wala katiba imara.
Marekani illiendelea kwasababu ya FDR, Uingereza kwasababu ya Henry VII, Russia kwasababu ya Stalin n.k
Mbona wamekufa na maendeleo bado yapo? Taasisi imara.
 
Nyie hata mutawaliwe na malaika mutalalamika,
Akibembeleza oooh mpole hafai
Akiwa mkali ooh dikteta,

I prefer dikteta
 
Back
Top Bottom