Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

Mleta mada ni boya sana, Bado unaamini kuna mwana CCM anafaa kuwa raisi?
 
Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Watu wanapaswa kuingia magotini kama wakati uliopita na mambo yatatokea tena.
 
Kwa tija ipi. Yule inatakiwa awe chuo akafundishe mipango
 
Na vile hatujuani kwa hizi ID feki ukute alieandika hapa ndo huyo mpango mwenyewe..😂
Pia wasije wakafanya matukio ya kumuondosha Mama kama yaliyotokea kwa JPM ili automaticall aapishwe tu maana maneno huumba.
 
Wabongo kazini!!!!

Hii nchi mapoyoyo hayatokaa yaishe kamwe!!!
 
nchi zote zilizoendelea ni kwasababu ya kiongozi wajuu imara, hakuna nchi iliyoendelea kwasababu ya taasisi imara wala katiba imara.
Marekani illiendelea kwasababu ya FDR, Uingereza kwasababu ya Henry VII, Russia kwasababu ya Stalin n.k
Gibberish
 
Dr Mpango sifa za uongozi Hana na hawezi labda sifa za kupanga mipango ya uchumi ili itekelezwe lakini kuongoza hawezi kabisa.
 
Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Akili zako ziko makalioni ndio maana huoni kazi za mama
 
Yaani watu wanaongezea petroli kwenye moto.

Wakati bei za bidhaa zinapanda kila uchwao nao ndio wanatanganza ongezeko la mshahara.
 
Yaani watu wanaongezea petroli kwenye moto.

Wakati bei za bidhaa zinapanda kila uchwao nao ndio wanatanganza ongezeko la mshahara.

Mkuu kuna watu wana akili matope na nchi yetu imo
Wenzetu wanajua kuwa kupandisha mishahara ni kupandisha maisha kuwa juu zaidi

Tuna wachumi wa ajabu sana
 
Mkuu kuna watu wana akili matope na nchi yetu imo
Wenzetu wanajua kuwa kupandisha mishahara ni kupandisha maisha kuwa juu zaidi

Tuna wachumi wa ajabu sana
Sio wa ajabu tu.

Wanamwogopa namba moja.

Hawataki kumuambia ukweli.
 
Mpango ni kiongozi
Mnafiki
Muongo
Muoga
Mfata upepo
Kifupi hafai kua hata mwenyekiti wa serikali za mitaa tatizo ni alikalili vizuri darasani na kupata vyeti na anaonyesha kabisa kuibadilisha elimu kua maendeleo hawezi.
ashasau kipindi cha mwendazake alikuwa waziri wa fedha
 
Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Jee umeshamuuliza raisi watu wa aina gani ambao anaweza au angependa kuwaongoza?
 
Serikali ya awamu 5, tuliambiwa Uchumi unakua ,tunarasilimali za kutosha (ndani) hakuna kukopa, mifuko ya hifadhi za jamii na wafanya Biashara account zao zikadukuliwa, taasisi za imma ambazo zinapata hasara zikalipa gawio(dividend) kwa kujinyima posho za safari nk na Tanzania inaingia kwenye kundi la nchi zilizoendelea(Uchumi wa Kati) kwa kutengeneza tarakimu za Uchumi.
Ni mbobezi wa uchumi wa darasani, lakini siyo wa vitendo,Bakhressa au Mo Dewji wanaweza kuwa wachumi wazuri kwa maana wanauishi Uchumi
 
Bora angebakia pale pale kwenye uwaziri wa hela ila tangu apewe ulaji hapo kwenye mjengo mweupe,mrefu jamaa yupo kimya kabisa hana jipya.Hii nyadhifa ilimfaa Majaliwa jamaa ni mtu na nusu.

Anyway;Viongozi wetu wakuu sisi tunachotaka ni maendeleo tu.

#Majaliwaforpresidency
Umesahau kanuni moja ya uongozi ' Usitake kuonekana unajua Sana kuliko Mkubwa wako'
 
Back
Top Bottom