BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Mpango ni kiongoziMungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Na vile hatujuani kwa hizi ID feki ukute alieandika hapa ndo huyo mpango mwenyewe..😂Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Hata akiwa yeye huyu mzee maendesha miradi mikubwa na haikufikia mwisho kila siku anaishia njiani na kuja na miradi mingine huyu mzee ananikera sanaNa vile hatujuani kwa hizi ID feki ukute alieandika hapa ndo huyo mpango mwenyewe..😂
Yani nilitaka niishie hapa ila lazima nichukue mpaka phd maana hawa wazee tukiwaendekeza nchi itaenda mrama hii na mimi ngoja nikalili kama wao tuNa huo Uchumi ukikaa sawa tubadilishe tupate mwingine anayeweza kuongoza sijui wakati wa Shambulio la Nzige ?
Tatizo la kutegemea watu / mtu husababisha mwendo wa hatua mbili mbili nne nyuma....
Kukalili ndio kufanyaje?!Yani nilitaka niishie hapa ila lazima nichukue mpaka phd maana hawa wazee tukiwaendekeza nchi itaenda mrama hii na mimi ngoja nikalili kama wao tu
Acha Ukabila na Ubaguzi Kijana.Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Bora angebakia pale pale kwenye uwaziri wa hela ila tangu apewe ulaji hapo kwenye mjengo mweupe,mrefu jamaa yupo kimya kabisa hana jipya.Hii nyadhifa ilimfaa Majaliwa jamaa ni mtu na nusu.
Anyway;Viongozi wetu wakuu sisi tunachotaka ni maendeleo tu.
#Majaliwaforpresidency
HUMJUI PHILLIP MPANGO HATA KIDOGO. HUYU NDIO ALIUA UCHUMI WA HII NCHI NA MAGUFULI.
SASA HIVI YEYE NA MWIGULU NDIO WASHAURI WAKUU WA CHIEF HANGAYA MAMBO YA UCHUMI. WAMESEEMA ETI LENGO LAO NI KUKUSANYA TRILIONI 2 KWA MWEZI KUTOKA KODI MBALIMBALI.
UNAKUMBUKA HOTUBA YAKE FUPI SIKU YA KUAPISHWA MAKATIBU WAKUU MARA YA KWANZA KABISA WAKATI AWAMU YA 6 INAINGIA MADARAKANI???
YAJAYO YANAHUZUNISHA!
shortcut?Mzee wa Kilwa Kisiwani hiyo hashtag# yako inawakilisha shortcut ya 2025 ama 2026?
Yani huyo ndio wa hovyo kabisa. Ndio alikuwa anamshauri mwendazake mambo ya hovyohovyo mpaka uchumi ukaangukia pua. Hovyo kabisa.Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
Rais ni alama tu ya serikali. Haji na kila kitu kichwani mwake. Hapokei kila kitu. Hakatai kila kitu. Lazima tujue hilo.Mungu atusaidie,
Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa.
Halieleweki analo ongea.
Haeleweki anakokwenda.
Anakotupeleka ndio giza gizaaaa.
Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
nchi zote zilizoendelea ni kwasababu ya kiongozi wajuu imara, hakuna nchi iliyoendelea kwasababu ya taasisi imara wala katiba imara.Rais ni alama tu ya serikali. Haji na kila kitu kichwani mwake. Hapokei kila kitu. Hakatai kila kitu. Lazima tujue hilo.
Rais analaumiwa tu kwa kuwa ndio final say ya serikali.
Serikali inaongozwa kwa muunganiko.
Na cheo alichonacho sio kidogo.
Anaweza kushauri hapo hapo. Maoni yake yanaweza kuwa Veto kabisa.