Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 May 17, 2022 #41 Statesman said: Sio wa ajabu tu. Wanamwogopa namba moja. Hawataki kumuambia ukweli. Click to expand... Wanajuana hao Wanakula sahani moja
Statesman said: Sio wa ajabu tu. Wanamwogopa namba moja. Hawataki kumuambia ukweli. Click to expand... Wanajuana hao Wanakula sahani moja
P paqwa JF-Expert Member Joined Sep 13, 2019 Posts 2,106 Reaction score 2,831 May 18, 2022 #42 BestOfMyKind said: nchi zote zilizoendelea ni kwasababu ya kiongozi wajuu imara, hakuna nchi iliyoendelea kwasababu ya taasisi imara wala katiba imara. Marekani illiendelea kwasababu ya FDR, Uingereza kwasababu ya Henry VII, Russia kwasababu ya Stalin n.k Click to expand... Mbona wamekufa na maendeleo bado yapo? Taasisi imara.
BestOfMyKind said: nchi zote zilizoendelea ni kwasababu ya kiongozi wajuu imara, hakuna nchi iliyoendelea kwasababu ya taasisi imara wala katiba imara. Marekani illiendelea kwasababu ya FDR, Uingereza kwasababu ya Henry VII, Russia kwasababu ya Stalin n.k Click to expand... Mbona wamekufa na maendeleo bado yapo? Taasisi imara.
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 May 18, 2022 #43 Nyie hata mutawaliwe na malaika mutalalamika, Akibembeleza oooh mpole hafai Akiwa mkali ooh dikteta, I prefer dikteta
Nyie hata mutawaliwe na malaika mutalalamika, Akibembeleza oooh mpole hafai Akiwa mkali ooh dikteta, I prefer dikteta