Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

Tuendelee kumkumbusha Dr. Mipango kuwa adui wa Tanzania ni wale wale; Ujinga, Maradhi na umasikini wala si Upinzani. Aache kujitoa ufahamu.
Umesahau adui mkubwa na wa kwanza wa Tanzania sasa ni CCM. Mosi, wanataka watu wote tuwe wapumbavu na mataahira ili ifike wakati wakisema kwetu Tanzania jua linatoka masgharibi na kuzama mashariki tuimbe wimbo huo huo bila kujali ukweli (Kwa mantiki hiyo, CCM inatamani wakati wote watu wawe wajinga). Pili, wanatamani watu wengi wawe maskini hohe hahe ili kiongozi wao akiwagawia hata shs. 10,000 wamwabudu badala ya Mungu wetu wa kweli, ndiyo sababu wakajiita watetezi wa wanyonge. Kwa nini kuwe na wanyonge katika nchi iliyopata uhuru miaka takriban 60 iliyipita.
Kwa hiyo CCM ni adui namba 1 wa nchi hii
 
Kusema kilichotokea kwake, na kutoa maoni yake kuhusu kiongozi fulani kina husika vipi na kuchafua nchi?
 
Kama tu wananchi wangekuwa si wajinga na si masikini, CCM asingekuwa adui. Vyama vya siasa vipo dunia nzima.
 
Aliongea vizuri sana. Alipo fika mwisho akajinyea.
Yaani anaonekana nae ni wale wale wezi wanao hubiri amani lakini hawataki kukosolewa. Mzee masifa kama yule alie tamani kuwa kiongozi wa malaika.
 
Usiwe na haraka, subiri usikie nini kinazungumzwa kwanza kwa HOJA.
 
Lissu ni mgonjwa wa akili na kilaza mkubwa.
kwaninimnamhofia mgonjwa wa akili? inachotakiwa ni nyie kuwa tayari kupinga hoja zake kwa evidence na sio matusi kama haya ya kumuita mgonjwa.
 
Huyu analeta vijembe vya ccm na kukufuru kuwa ana uhakika atakufa akiwa ccm. Swali kumuuliza huyu aliyeharibu uchumi akiwa na lile lidikteta, ccm ikifa kabla hajafa, atajiua?
 
Hivi bado mnapoteza mda kufuatilia huyoo kijana wa singidaa?? Polenii
 
Kwani huyu Jana tu amaesahau matokeo.ya uchaguzi?
 
Yaani CCM hamtaki kabisa Demokrasia ya vyama vingi. Kwa wingi wenu bungeni hebu shaurini marekebisha ya Sheria, futeni vyama vingi.
Sasa mshaelewa kuwa CCM ni ile ile?!
 
Ameshanikatisha tamaa kwa huo msemo wake. Alichofanya Mwendazake anaona alifanya vema kununua upinzani. Amesema yeye ni mcha Mungu na akumbuke hata mwendazake alisema yeye ni mcha Mungu. Kwa kauli zake ninachelea wacha Mungu hawako hivyo labda wachungaji wanisaidie lakini siyo Gwajima. Mcha Mungu ni mtenda haki. Haki ni pamoja na upinzani kuwepo bungeni. Hiyo ya kusema wajiunge na CCM chama ambacho wanatumia guvu kubwa sana kukubalika kwa wananchi si sawa. Anyway time will tell. CCM in ilie ile na hatutegemei maajabu sana pamoja na kwamba mwendazake alitaka sana kufanya maajabu lakini yaleyale yamejirudia.
 
Lumumba aliamua kulipoteza nalo likakubali na sasa yamepotea yote.Haya majitu ni mahoho kabisa.
 
Wale waliokua wanampangia Rais Samia Suluhu Hassan cha kufanya nadhani tumeshaelewana[emoji1787][emoji106][emoji123]

Tanzania iko imara sana[emoji7][emoji1241][emoji3531]

Alale salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli [emoji120]
Kipenzi chako na nani? Je,jamaa alikuwa anawapiga mtungo?
 
Lakini ndio wanaokuongoza hao.. Ili ujue uzezeta wao nenda ofisi yoyote ya CCM atamke hayo maneno uone utaingizwa nini kwenye shimo lako linalotoa uchafu
Kumbe huko ccm mnaingiza vitu kwenye mashimo yenu?
Utakuwa imeshakuwa na kubwa mno! Maana uko ccm siku nyingi
 
Kwa sasa kwa kusema hivyo ni kuleta utani, mpe kwanza nafasi ya kutoa dukuduku lake moyoni ndio ndio ulete huo mzaa alooh laa sivyo subiri akushangaze kwanza ndio utamfahamu kiundani jinsi alivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…