johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Taarifa imfikie dotto james popote alipo
Bila kumsahau Ruth jonTaarifa imfikie Heri James pia
Hahahaaaa......!Bavichaa hali zenu? Mnabanwa kila kona😁😁😁msiyemtaka kaja tena.
tuwape muda, tuache ramli.naionA Tanzania ya viwanda
Bashite alimtunishia msuli,Dadi akaokoa jajaziYeah....mjomba kendazake tayari!
Nakumbuka PIM alivyovutana na Bashite kwenye ile issue ya kuingiza mizigo bila kulipa kodi.
We jamaa ni mjinga kweli kweli.Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko...
Bwashee chapa kazi!Kuna siku BAVICHA itakupa ujauzito Jo..samahani lakini
Naona wewe ndio mjinga!We jamaa ni mjinga kweli kweli
Nyie ndiyo mlizoea kubebwa na mjomba wenu sasa hayupo
Sawa Mkuu....Hapa kazi tu ,Mikumi na nne tena.Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko....
Chakubanga mzee wa viieetiiiNaona wewe ndio mjinga!
Hajamtaja mtu bwashee!Uncle John?