Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Watendaji chapeni kazi, Mjomba hayupo

Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Watendaji chapeni kazi, Mjomba hayupo

Yeah....mjomba kendazake tayari!

Nakumbuka PIM alivyovutana na Bashite kwenye ile issue ya kuingiza mizigo bila kulipa kodi.

MPANGO ALIMWAMBIA JIWE KAMA BASHITE ANGEINGIZA YALE MAKONTENA BILA KULIPIA KODI ANGEACHIA NGAZI YA UWAZIRI WA FEDHA!!!! BASHITE ILIBIDI ALIPIE. KODI YALE MAKONTENA!!!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Jk alijisahau akalitupa,zee la nasadiki,alipotonywa,ikabidi Eddo afukuzwe kazi,ili nafasi ya PM apewe Mizengo Pinda! Zee la nasadiki lina mkono mrefu,hata Marehemu na ubabe wake,hakuwahi ligusa zee lile,zaidi alimgusa ndugu yake na zee lile,likakaa kimya,huku linamcheki, Marehemu akarudisha mpira kwa kipa haraka sana!

Sasa ni wakati wenu wa kunena kwa lugha yenu lakini tuliloahidiwa limetimia TUMEVUSHWA SALAMA ; makamu wa Rais mtarajiwa hana makundi , nchi yetu iko salama. Sasa msipokuwa na adabu ndio zamu yenu ya kwenda Lupango; wote wakina MUSIBA muelewe kuwa sasa mjomba hayupo sheria zitafuata mkondo wake .Mambo yenu ya kuwachafua watu ni lazima yakome.
 
MPANGO ALIMWAMBIA JIWE KAMA BASHITE ANGEINGIZA YALE MAKONTENA BILA KULIPIA KODI ANGEACHIA NGAZI YA UWAZIRI WA FEDHA!!!! BASHITE ILIBIDI ALIPIE. KODI YALE MAKONTENA!!!
Una ushahidi bwashee!
 
Back
Top Bottom