Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Watendaji chapeni kazi, Mjomba hayupo

Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Watendaji chapeni kazi, Mjomba hayupo

Yeah....mjomba kendazake tayari!

Nakumbuka PIM alivyovutana na Bashite kwenye ile issue ya kuingiza mizigo bila kulipa kodi.
He is bold, inasemekana aliweza kumeambia mwendazake ukweli wa mambo na akausikiliza. Mawazo wengi hawakuliweza hili.
 
Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiwaaga wabunge wenzake tayari kabisa kutumikia nafasi yake mpya.

BAVICHA chapeni kazi majungu siyo mtaji.

Maendeleo hayana vyama!
Magufuli alikuwa mjomba wa Mnyika au wa Hilda Newton?
 
Kazi ni kipimo cha utu,ili nchi isonge na ustawi wa familia navmtu mmojammoja ni lazima tufanye kazi.Kwa bidii na maarifa bila kusukumwa na wala kutegemea mtu kama kinga ya kutofanya kazi kwavuaminifu.
 
Bashite popote ulipo uliyemdharau kaja😂
Daah tuishi tukiamini kuna kesho!
Kesho yetu au ya waliotuzunguka hatuijui. Dunia duara

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiwaaga wabunge wenzake tayari kabisa kutumikia nafasi yake mpya.

BAVICHA chapeni kazi majungu siyo mtaji.

Maendeleo hayana vyama!
Unawashwawashwa, BAVICHA wako idara gani serikalini!
 
Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiwaaga wabunge wenzake tayari kabisa kutumikia nafasi yake mpya.

BAVICHA chapeni kazi majungu siyo mtaji

Maendeleo hayana vyama!
TUSUBIRI taarifa ya hela iliyotoka BoT kuanzia January hadi March 2021. Hayo mengine ni majungutu
Hajamtaja mtu bwashee!
Kulwa
 
Back
Top Bottom