Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Watendaji chapeni kazi, Mjomba hayupo

Yeah....mjomba kendazake tayari!

Nakumbuka PIM alivyovutana na Bashite kwenye ile issue ya kuingiza mizigo bila kulipa kodi.

MPANGO ALIMWAMBIA JIWE KAMA BASHITE ANGEINGIZA YALE MAKONTENA BILA KULIPIA KODI ANGEACHIA NGAZI YA UWAZIRI WA FEDHA!!!! BASHITE ILIBIDI ALIPIE. KODI YALE MAKONTENA!!!
 
Reactions: SMU

Sasa ni wakati wenu wa kunena kwa lugha yenu lakini tuliloahidiwa limetimia TUMEVUSHWA SALAMA ; makamu wa Rais mtarajiwa hana makundi , nchi yetu iko salama. Sasa msipokuwa na adabu ndio zamu yenu ya kwenda Lupango; wote wakina MUSIBA muelewe kuwa sasa mjomba hayupo sheria zitafuata mkondo wake .Mambo yenu ya kuwachafua watu ni lazima yakome.
 
MPANGO ALIMWAMBIA JIWE KAMA BASHITE ANGEINGIZA YALE MAKONTENA BILA KULIPIA KODI ANGEACHIA NGAZI YA UWAZIRI WA FEDHA!!!! BASHITE ILIBIDI ALIPIE. KODI YALE MAKONTENA!!!
Una ushahidi bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…