Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi amtembelea Dkt. Kikwete

Mzee Kikwete anajua jamaa kafata nini hapo daah na wamemaliza baadae tutapata jibu tuunge juhudi..
 
Kuna mmoja hapo anamfanyia timing mwenzake.
 
Katulizwa tayari
 
Nawaonea huruma wale ambao mlishaanza kumuona Nchimbi kama ni wa tofauti na kavua gamba la kijani , bila ya kufahamu CCM ni ile ile na watu wake ni wale wale.
Sijihisi chochote kuhusu haya maneno yako mkuu 'Matrix'; acha mchezo uendelee, hakuna kitakachojificha hapa mwisho wa yote.

Inawezekana sana huyu Nchimbi kawekewa hafla hiyo maksudi, na mapicha juu yake.

Hivi hujui ulaghai wa hawa waovu ulivyo?

Hii hapa inaweza kuwa ndiyo nafasi ya kwanza ya kummaliza huyu Nchimbi.
Asipotoa neno makini, huyu tayari kishaingiza kichwa mdomoni mwa mamba.
 
Kalamu nilikwambia Nchimbi team mtandao ni kijana wa Jk mkabisha sasa kiko wapi Jk ndo alimpa kazi Nchimbi ya UDC kazi yake ya kwanza
Tuwe na subira kidogo kabla ya kuhitimisha.
Ngoja tusikie akizungumza tena. Asipozungumza, tutajuwa kilichotokea, na habari yake ndio utakuwa mwisho wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…