Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,143
- 2,872
Wakuu kama mnavyoona picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.
Kikwete kaivuruga sana Tanzania, mpaka tuje tukae sawa sio leo.Kama amemtembelea kikwete.
Amemtembelea Mtu mchafu sana kwenye Jamii ya watanzania.
Mtu asiyeaminika na kuheshikika kabisa.
Ila ni lazima amtembelee Boss wake kwasababu Nchimbi ni Mwana Mtandao na Kikwete ndio Core founder wa CCM mtandao.
HIcho chama hakina msafi hata mmoja.
Tukiwaambia CCM ni ile ile huwa hamuelewi.
Namuamini Nchimbi lakini kujihusisha huyo baba wa ufisadi kunanipa shakaWrong Move on his part.
Huwezi kujihusisha na mtu kama huyo halafu bado unataka watu wakuamini?
Huyu kazi kwisha.
Kaitwa huko kupewa karipio.
well done Dr.Emmanuel John Nchimbi.Ndugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais Mheshimiwa Daktari Emmanueli Nchimbi Amtembelea na kumjulia hali Rais Mstaafu Wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Nguli Wa Diplomasia Barani Afrika na Duniani kote kwa ujumla wake katika Makazi Yake.
Mheshimiwa Jakaya Kikwete ndiye alikuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kuonana na kufanya mazungumzo na Rais wa 44 wa Marekani Barack Hussein Obama alipochaguliwa tu Urais wa Marekani.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3647671
Wakuu kama mnavyoona picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Agosti 2026.
Hisia zangu zinahisi Emma hayuko salama na hiyo safari, hicho kiti ni salama kwake kiasi gani?Kuna mmoja hapo anamfanyia timing mwenzake.
Huyo mganga wa kenya yuko hai au?Mganga mtabiri wa Kenya amenifikirisha sana.
Natafakari 🤔
Shi hii linaanzia kwa watu wa aina hii hii yako. CCM limekuwa jalala, kwa kuwa na watu wa aina hi yako.Kawaida, mngosi, mahonda na yule wa zenji wanamsema nchimbi vibaya, wasicho kijua ni kua huyu wanao msema ni long time kitambo chamani kuliko wao, sisi tuliKua viherehere kidogo tu tumecharuka ila mwisho tukajikuta yatima tukaanza tena kujipendekeza Kwa watu tulio watukana Jana kazi ilikua ngumu na wengine wakipigwa chini mazima chamani ukikutana nao Leo hii unaishia kusikitika, hao wakubwa wakizinguana kausha, jifanye hujui kinacho endelea full stop, kulinda kesho yako
Jibu langu kwako ni fupi na rahisi sana.Kawaida, mngosi, mahonda na yule wa zenji wanamsema nchimbi vibaya, wasicho kijua ni kua huyu wanao msema ni long time kitambo chamani kuliko wao, sisi tuliKua viherehere kidogo tu tumecharuka ila mwisho tukajikuta yatima tukaanza tena kujipendekeza Kwa watu tulio watukana Jana kazi ilikua ngumu na wengine wakipigwa chini mazima chamani ukikutana nao Leo hii unaishia kusikitika, hao wakubwa wakizinguana kausha, jifanye hujui kinacho endelea full stop, kulinda kesho yako
Huko ni mbali sana.Mengineyo zaidi ya hapo sina la ziada, tusubiri muda utatupa majibu mazuri naamini sio mbali sana hata 2028 haitofika.
Huko ni mbali sana.
Nchimbi kapata nafasi ya kipekee kabisa kama akitaka kuitumia vizuri. Ni wakati sahihi sana kwake kuonyesha kama anao uwezo wa kuongoza.
Hoja ya kujiunga na waovu haina uzito, kama ataitumia kuwasambaratisha. Hili ndilo la muhimu.
Akiendelea na ngonjera zake za vimaneno hapa na pale, hakuna yeyote atakayemwamini kuwa yeye anayo nia njema na taifa hili.
Mimi nampa wiki kadhaa tu wa kujipambanua hivyo.
Umeni lazimisha kutaka kusema ACHA TU nikwambie ukweli, ukimtoa MUNGU, hakuna mtu yeyote hata ange kua nani mwenye uwezo wa kuitoa ccm madarakani hakuna, hakuna hakuna never ever forever nakwambia kile nacho kifahamu na nilicho kiona hakuna, ccm itajitoa yenyewe kama mipasuko otaendelea na kama wazee wa busara wakina jk wataondoka duniani, la sivyo CHAMA kipo mpaka baadae sana, zoea Hilo mkuu Wala hata nisikipe moyo in short chadema cjui act hawawez chukua nchi never tena Kwa sasa ndo kabisa mana tahadhari zote zitachukuliwa mapema we kua mpole tu mkuu,Shi hii linaanzia kwa watu wa aina hii hii yako. CCM limekuwa jalala, kwa kuwa na watu wa aina hi yako.
sasa mmefikia ukomo, hamna namna tena; italazimu tu
asa nimekuelewa vizuri sana.
Ahsante kwa ufafanuzi, na sina haja yoyote ya kueleza niliyojifunza kukuhusu wewe na watu wa aina yako.
Tatizo la nc
msalimu amri. Hamuwezi kulichezea taifa hili kama chooni kwenu.
Jibu langu kwako ni fupi na rahisi sana.
Hivi kweli watu wa aina yako bado mnayo matumaini ya kuendelea kuwanyanyasa waTanzania?
Hivi huoni kabisa kuwa mmefika mwisho wa kamba!
Sina la kukuambia wewe ila kukuonea tu huruma.Umeni lazimisha kutaka kusema ACHA TU nikwambie ukweli, ukimtoa MUNGU, hakuna mtu yeyote hata ange kua nani mwenye uwezo wa kuitoa ccm madarakani hakuna, hakuna hakuna never ever forever nakwambia kile nacho kifahamu na nilicho kiona hakuna, ccm itajitoa yenyewe kama mipasuko otaendelea na kama wazee wa busara wakina jk wataondoka duniani, la sivyo CHAMA kipo mpaka baadae sana, zoea Hilo mkuu Wala hata nisikipe moyo in short chadema cjui act hawawez chukua nchi never tena Kwa sasa ndo kabisa mana tahadhari zote zitachukuliwa mapema we kua mpole tu mkuu,
gonga IGNORE hiyo kituHii ina mahusiano gani na mkutano wa hao watu 2?
Ila wewe jamaa ni hamnazo.
yote ni matakataka tuKalamu nilikwambia Nchimbi team mtandao ni kijana wa Jk mkabisha sasa kiko wapi Jk ndo alimpa kazi Nchimbi ya UDC kazi yake ya kwanza
YupiRest in peace 🙏
Kazi ni kipimo cha utu
FactKonda boy, yule sijui kawaida, yule wa zenji hawa walikua wanasema nchimbi Kwa mafumbo wajitafakar sana, hawa wakubwa wanajuana, usije ingia kwenye mtego wa kuwasema utakuja kujikuta peke Yako huta amini