Ila nadhani Kwa MSD tatizo kubwa sio Kiongozi bali ni Mfumo. MSD ni idara Complex sana kulinganisha na nyingine. Ni Complex sababu inagusa wadau wengi hasa wafanyabiashara wa sawa ambao network yao inagusa sector zote za Afya, binafsi naza uma.
Hata aletwe mtu muadilifu kiasi gani na mwenye hizo Leadership quality unazosema wewe naamini naye atakaa mwaka tu na kuonekana hafai.
Otherwise iondolewe Management yote kisha 3/4 ya watumishi waondolewe na ili kuondoa Mazoea
Thank you my friend!!!
Ila sidhani kama MSD ni organization ambayo ni complex kuiendesha, hapana!
Tangu MSD ianze operation zake mwaka 1994 imekuwa ikiendeshwa vizuri tu chini ya wakurugenzi wakuu tofautitofauti pamoja na kuwa hela iliyokuwa inaletwa na Serikali ilikuwa ni kidogo sana lakini dawa zilikuwa zinapatikana kwa wingi ikiwa ni pamoja na vifaa tiba.
Kinachotakiwa ni commitment ya dhati kwa kiongozi mkuu pamoja na management nzima yenye weledi wa kutosha kwenye kuendesha taasisi na sio kuokoteza tu wafanyakazi kwa kujuana ndio uwaweke kwenye nafasi nyeti.
Kwa sisi tuliopo hapa MSD mambo yalianza kuharibika mwaka 2016 pamoja na kwamba inasemekana kuwa ndo kipindi ambacho Serikali ilileta hela nyingi sana MSD kiasi cha Shs. billion 256 lakini mambo yaliendelea kuwa mabaya ikiambatana uharibifu mkubwa sana wa dawa na utoaji wa taarifa potofu kwa Serikali kuhusu upatikanaji wa dawa.
Kubadilisha Menejimenti yote ni sawa. Mkurugenzi Mkuu wa sasa bwana afande hilo kalifanya vizuri sana pamoja na kuwa kiu ya wafanyakazi wa MSD ilikuwa ni kuwatoa aliyekuwa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala ndugu Victoria Mwanri Elangwa pamoja na Mkaguzi Mkuu wa Ndani bwana Robert Biah.
Wafanyakazi tulifurahi sana kuondolewa kwa huyo mwanamke ambae amejaa sifa za; uzinzi ulio kubuhu wa kutembea na Mkuu wa taasisi na vijana wadogo, usiku kutwa kwenda kwa masangoma Zanzibar, Moshi aliko mama yake, Dar pamoja na Tanga. Huyu mwanamke alikuwa ni mtu hatari sana kwa kuwafitini wafanyakazi na kuwaharibia kazi bila sababu za msingi.
Victoria na Bwanakunu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Wakitaka kumharibia utumishi mtumishi walikuwa wanamtumia sana Mkaguzi Mkuu wa Ndani ili aanzishe mchakakato dhidi ya Mtumishi. Mkaguzi Mkuu wa Ndani hana integrity yoyote integrity yake ni zeero na hana msaada wowote kwa afande mbali ya kupeleka majungu na kuiharibu taasisi.
Sisi tuliopo hapa MSD tunamshauli sana afande aachane kuwasikiliza Mkaguzi Mkuu wa Ndani kwasababu mtu huyo kajaa fitina ndani ya moyo wake, hana msaada wowote na amechangia sana kupeleka majungu yalipelekea kuwahamisha MSD baadhi ya wafanyakazi ambao ilikuwa ni asset kubwa sana kwa MSD.
Kitendo cha kumuondoa Frank Nkone pale procurement, nafasi ambayo aliipata kwa majungu na fitina wakati hajawaisomea fani ya manunuzi ulifanya uamuzi mzuri sana, huyu kijana ni mtu aliyejaa fitina na majungu sana, na tunamungalia tu!!