Thank you my friend!!!
Ila sidhani kama MSD ni organization ambayo ni complex kuiendesha, hapana!
Tangu MSD ianze operation zake mwaka 1994 imekuwa ikiendeshwa vizuri tu chini ya wakurugenzi wakuu tofautitofauti pamoja na kuwa hela iliyokuwa inaletwa na Serikali ilikuwa ni kidogo sana lakini dawa zilikuwa zinapatikana kwa wingi ikiwa ni pamoja na vifaa tiba.
Kinachotakiwa ni commitment ya dhati kwa kiongozi mkuu pamoja na management nzima yenye weledi wa kutosha kwenye kuendesha taasisi na sio kuokoteza tu wafanyakazi kwa kujuana ndio uwaweke kwenye nafasi nyeti.
Kwa sisi tuliopo hapa MSD mambo yalianza kuharibika mwaka 2016 pamoja na kwamba inasemekana kuwa ndo kipindi ambacho Serikali ilileta hela nyingi sana MSD kiasi cha Shs. billion 256 lakini mambo yaliendelea kuwa mabaya ikiambatana uharibifu mkubwa sana wa dawa na utoaji wa taarifa potofu kwa Serikali kuhusu upatikanaji wa dawa.
Kubadilisha Menejimenti yote ni sawa. Mkurugenzi Mkuu wa sasa bwana afande hilo kalifanya vizuri sana pamoja na kuwa kiu ya wafanyakazi wa MSD ilikuwa ni kuwatoa aliyekuwa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala ndugu Victoria Mwanri Elangwa pamoja na Mkaguzi Mkuu wa Ndani bwana Robert Biah.
Wafanyakazi tulifurahi sana kuondolewa kwa huyo mwanamke ambae amejaa sifa za; uzinzi ulio kubuhu wa kutembea na Mkuu wa taasisi na vijana wadogo, usiku kutwa kwenda kwa masangoma Zanzibar, Moshi aliko mama yake, Dar pamoja na Tanga. Huyu mwanamke alikuwa ni mtu hatari sana kwa kuwafitini wafanyakazi na kuwaharibia kazi bila sababu za msingi.
Victoria na Bwanakunu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Wakitaka kumharibia utumishi mtumishi walikuwa wanamtumia sana Mkaguzi Mkuu wa Ndani ili aanzishe mchakakato dhidi ya Mtumishi. Mkaguzi Mkuu wa Ndani hana integrity yoyote integrity yake ni zeero na hana msaada wowote kwa afande mbali ya kupeleka majungu na kuiharibu taasisi.
Sisi tuliopo hapa MSD tunamshauli sana afande aachane kuwasikiliza Mkaguzi Mkuu wa Ndani kwasababu mtu huyo kajaa fitina ndani ya moyo wake, hana msaada wowote na amechangia sana kupeleka majungu yalipelekea kuwahamisha MSD baadhi ya wafanyakazi ambao ilikuwa ni asset kubwa sana kwa MSD.
Kitendo cha kumuondoa Frank Nkone pale procurement, nafasi ambayo aliipata kwa majungu na fitina wakati hajawaisomea fani ya manunuzi ulifanya uamuzi mzuri sana, huyu kijana ni mtu aliyejaa fitina na majungu sana, na tunamungalia tu!!
Kwenye paragraph ya 10 hapo juu nimejaribu kueleza tabia mbovu sana ya mjungu na fitna za huyu kijana anaeitwa Frank Nkone hapa ofisini kwangu Bohari ya Dawa - MSD
Kwa jinsi alivyokubuhu kwa majungu huyu kijana and very unethical kabisa, nakumbuka huyu kijana aliajiliwa na wenzake kama 3 hivi kwa siku moja. Huyu kijana aliwaabia wenzake kuwa pamoja na kuwa wameajiliwa siku moja lakini lazima atawapita kwa cheo na mshahara, kumbe ngao yake kubwa ikiwa ni majungu na fitina kwa kuwaharibia kazi wenzake.
Bada ya kuajiliwa ndipo alipoanza kumfanyia figisu bosi wake ambae alikuwa ni HRM kwa kupeleka majungu kwa Mkurugenzi Mkuu ili kumharibia kazi bosi wake na nafasi yake aichukue yeye, na hiyo hali aliizidisha sana wakati wa Bwanakunu na Victoria Elangwa akiwa DHRA.
Bada ya hila yake hiyo kushindikana ndipo alipomrubuni DG wa wakati huo ili ampeleke kwenye kitengo cha SMO kwasababu kwenye kitengo kile kulikuwa na marupurupu mengi, DG akakubali. Alipokuwa SMO kazi kubwa ali-target kuwaharibia baadhi ya Wakurugenzi ili ikiwezekana apewe yeye, nakumbuka kuna Mkurugenzi mmoja aliandikiwa barua ya warning kabisa!!
Bada ya hiyo mbinu kushindikana akaamua kusuka jungu ili aliyekuwa bosi wake HRM atolewe pale ili yeye akae kwenye hiyo nafasi kama HRM, safari hii alifanikiwa na kweli HRM akatolewa na akapewa yeye. Kama kungekuwa na fairness lazima wangepewa waliokuwepo kwenye kitengo na sio Frank Nkone.
Ili kuonyesha kuwa huyu kijana ana pepo la kuhamahama nafasi kwa lengo la kuwaharibia watumishi wenzake, bada ya DHRA kupata ajali harakaharaka aka-lobby kwa DG ili nafasi ya DHRA apewe yeye wakati ndo ana muda mfupi tu tangu apewe nafasi ya HRM, na kumbaka kwenye kurugenzi ya DHRA kulikuwa na watu waliokuwa senior kwake huyo Frank Nkone, hiyo nafasi ya DHRA akapewa
Bada ya DHRA kurejea akaanza kuwinda nafasi ingine bada ya kuona hiyo ya HRM haitaki tena. Na kumbuka ili apewe nafasi anayoitaka lazima amharibie aliyekuwepo kwenye hiyo nafasi kwa kupeleka majungu kwa DG.
Badae tena akaona hiyo nafasi ya utawala aliyopewa haina maana tena akaona apeleke majungu kwa afande ili kumharibia Mkurugenzi wa Manunuzi. Afande akamkubalia na kweli Mkurugenzi wa Manunuzi aliondolewa na kupewa hiyo nafasi yeye Frank Nkone wakati hajasomea fani ya manunuzi au u-phamasia
Huyu kijana amekuwa ni kero na janga kwa taasisi, na amechangia sana kuwaharibia watumishi wa MSD ambao baadhi yao wameishia kufukuzwa kazi au kuhamishwa. Na imekuwa ni kawaida yake kufanya hivyo kwasababu ma-DG ambao wamekuwa wakiletwa hapa MSD huwa ni watu ambao hawana managerial na leadership skills pamoja na integrity ndio maana wanaishia kuongoza taasisi kimajungu na kupelekea kuwaondoa watu ambao walikuwa ni potential kwa taasisi.
Lakini huyu kijana sio kwamba tumemshindwa la hasha!!!
Asante!