Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

Baada ya kuondoka Rais wetu wa kweli mabeberu wanajileta tu nchini kwetu
 
Mfalme wa Morocco aliombwa msaada kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa michezo Dodoma na yule naniliu.
πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚Na Yule Shujaa
 
Huyo Kamala ana uhakika gani wa kushinda 2024? Au ndio Chawa wa Mama kazini?
 
Diplomasia ya Mama imeanza kufanya kazi..

Tutegemee mambo mazuri ikiwemo USA kutangaza dili za kibiashara na Tanzania hasa Kuruhusu bidhaa zetu kwao..

Pili ishu ya Agoa na kuirudisha Tanzania kwenye mradi wa MCCL
Bibi anavyopenda misaada na mikopo, subirini kukubali mambo ya LGBTQ!
 
Diplomasia ya Mama imeanza kufanya kazi..

Tutegemee mambo mazuri ikiwemo USA kutangaza dili za kibiashara na Tanzania hasa Kuruhusu bidhaa zetu kwao..

Pili ishu ya Agoa na kuirudisha Tanzania kwenye mradi wa MCCL
3 kufufua Sysmbion mradi aliokaja khizindua Obama ila ukazikwa na John
 
Kabla ya kifo chake alitembelewa na waziri wa mambo ya nje wa china kule Chato
 
Utaona jiji linavyopigwa deki mpaka na makalio na ulimi watanzania tungekuwa tunajituma kama tunavyojituma kufanya usafi kunapokuwa na ugeni mzito tungekuwa mbali sana
Wanataka kuja kutusumbua tu
 
Diplomasia ya Mama imeanza kufanya kazi..

Tutegemee mambo mazuri ikiwemo USA kutangaza dili za kibiashara na Tanzania hasa Kuruhusu bidhaa zetu kwao..

Pili ishu ya Agoa na kuirudisha Tanzania kwenye mradi wa MCCL
Kwani Tanzania imefaidika lini na AGOA?
Watu hupenda tu kutaji vitu ambavyo hata havina faida yoyote.

Agoa imekuwepo toka enzi za Clinton, hadi leo hakuna lolote ililofaidika nalo Tanzania kutokana na uwepo wa mpango huo.

Sasa tunalilia waje waje tuneemeke. Kwa vipi?

Badala ya kuwapa msukumo wananchi waelimike na fursa za aina hiyo, hawa viongozi kila mara wanapoteza muda kushughulikia mambo yasiyokuwa na faida kwa wananchi.

Wape wananchi elimu kuhusu mipango hii, halafu wawezeshe wawe na uwezo wa kufaidika na hiyo mipango.
 
25 Machi 2025 ????????????????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…