Bujumbura, Burundi
MAKAMU WA RAIS DR. PHILIP I. MPANGO - WAWEKEZAJI MNAKARIBISHWA, NCHI IMEFUNGUKA
Mazingira ya kibiashara ni mazuri Tanzania, nyote mnakaribishwa na muwaeleze wafanyabiashara wengine ndani ya Burundi kuwekeza Tanzania.
Kwanini Burundi na Tanzania tufanye biashara na nchi za mbali huko wakati tupo karibu kiasi hiki anasisitiza Mh. Dr. Philip Mpango