Makamu wa Rais na ziara za mara kwa mara nchini Burundi

Makamu wa Rais na ziara za mara kwa mara nchini Burundi

Bujumbura, Burundi

MAKAMU WA RAIS DR. PHILIP I. MPANGO - WAWEKEZAJI MNAKARIBISHWA, NCHI IMEFUNGUKA



Mazingira ya kibiashara ni mazuri Tanzania, nyote mnakaribishwa na muwaeleze wafanyabiashara wengine ndani ya Burundi kuwekeza Tanzania.

Kwanini Burundi na Tanzania tufanye biashara na nchi za mbali huko wakati tupo karibu kiasi hiki anasisitiza Mh. Dr. Philip Mpango
 
Si anakwenda kwao🤣hata wewe ukipata access ya usafir premium with zero cost, daily utakuwa unakwenda kwenu kumsalimia 🙏home sweet home 🤣
 
Back
Top Bottom