Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto alalamikia Jaji Mkuu wa Kenya Kuvaa Hereni

Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto alalamikia Jaji Mkuu wa Kenya Kuvaa Hereni

Ila Kenya vituko haviishi. Kila uchao kinazuka kipyaaa! Leo Jaji anavaa hereni, hii kali!
 
Miafrika bana badala imjudge mtu kwa matendo ya Kazi zake yapo busy kuangalia kavaa nini huku mafisadi na wala rushwa wanatetewa kwa damu. Huyu judge ni product ya UDSM na Harvard law school, mtu makini sana na anasimamia sheria ipasavyo ni mpumbav.u tu anaweza mgusa huyu jamaa kwa kisingizio cha hereni. Kenyatta anajua Kazi ya jamaa
 
I see waKristo tu ndiyo huvaa hereni! Diamond, harmonize na wasanii wote ambao wengi wao Ni waislam hawavai hereni sio. FYI huyu judge ni atheist.

Uliowataja ni waislamu jina tu,
 
Hili swala la hereni hata mi nilikuwa miongoni mwa watu ambao walikuwa kinyume kabisa lakini nikaja kufanya uchunguzi na kugundua kuwa makabila mengi ya kiafrika wanaume kwa wanawake tulikuwa tunavaa hereni kabla na hata baada ya ukoloni. Hata shanga za kiunoni zinavaliwa na wanawake na wanaume kwa baadhi ya makabila mpaka leo.
Mbona tusijiulize wamasai kutoboa masikio mpaka leo........mi nadahani tatizo tulilonalo ni huu uzunguafrika amabao hata unatufanya kujisahau kuwa tunatoka wapi
 
Uliowataja ni waislamu jina tu,

Waislam wakivaa ni waislam jina ila wakristo wakivaa dini nzima ya Ukristo imekosa maadili. Double standard at its best. Huyu judge haamini katika Mungu mlioletewa na wazungu/waarabu hivyo dini hazina nafasi yeyote katika hili.

Kuvaa/kutovaa hereni ni maamuzi ya mtu haiingiliani kabisa na utendaji kazi wa mtu. Kuna jamii wanavaa hereni kama tamaduni zao mbona hawasemwi mf maasai. Mutunga ni judge makini sana, product ya university of Nairobi, UDSM na Havard sio TEKU kama wewe, anasimamia sheria na sheria pekee. Uhuru hawezi mgusa Mutunga kwa madai yasiyo na kichwa wala mguu wakati jamaa anapiga kazi
 
Kama hujui kaa kimya. Mashoga ndiyo huvaa kulia, straight huvaa kushoto

In the 1980s, in the US, when earrings for men became more mainstream, there was a tradition "Left ear buccaneer, right ear queer", or "Left is right and right is wrong", but there was also a tradition "Right is right and left is gay". It was mostly straight male paranoia rather than anything arising out of the gay community, it varied from place to place, nobody was ever quite sure what it was supposed to be, but you could still get beaten up for getting it wrong by the standards of your area.

In the gay community in the 1970s (in SF at least), if an earring meant anything, it reinforced the Handkerchief code, where left=active/top and right=passive/bottom. (That may have contributed to "left ear buccaneer" because in many people's minds, being a top isn't nearly as gay as being a bottom.) But there was no consistency and often it was just jewelry.
 
Kwai
Wakenya ni hopeless kabisa!!! Hivi mnakubali vipi kuwa na jaji mkuu ambaye anavaa hereni!!! Huyu sio shoga kweli?? Naye akiolewa kama yule aliyeolewa juz mtafanyaje na mtaificha wapi hiyo aibu??? Ni aibu kubwa sana kwa majirani zetu ni aibu.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kwaiyo wamasai nao mashoga?
 
Waislam wakivaa ni waislam jina ila wakristo wakivaa dini nzima ya Ukristo imekosa maadili. Double standard at its best. Huyu judge haamini katika Mungu mlioletewa na wazungu/waarabu hivyo dini hazina nafasi yeyote katika hili.

Kuvaa/kutovaa hereni ni maamuzi ya mtu haiingiliani kabisa na utendaji kazi wa mtu. Kuna jamii wanavaa hereni kama tamaduni zao mbona hawasemwi mf maasai. Mutunga ni judge makini sana, product ya university of Nairobi, UDSM na Havard sio TEKU kama wewe, anasimamia sheria na sheria pekee. Uhuru hawezi mgusa Mutunga kwa madai yasiyo na kichwa wala mguu wakati jamaa anapiga kazi

Waislamu ndani ya kitabu chetu kitukufu yapo maandiko yanayoharamisha mavazi kama haya herini kwa mwaname, ama kuvaa dhahabu na vituo vyenye mfano huo, lakini kwa wakiristo kitabu chao chote hakuna andiko lihusianalo na mavazi kwa mwanamme na mwanamke ndio mana tunasema tuna wasiwasi na dini yenu. kwa sababu mumekosa mafundisho kwenye kitabu chenu sasa munakuja hapa munasema ni utamaduni., kwa msingi huo ndio utakuta wakiristo wengi hawajielewi wanafanya vyovyote tu katika haya mavazi kwa sababu mumekosa muongozo.

Sisi waislamu muislamu akivaa herini tunajuwa makatazo yake kwa maandiko na mtu muislamu akivaa tunajua kabisa amefanya kosa na hukmu yake ni nini lakini kwa wakiristo hamna hiyo fatwa kwenye kitabu chenu. kama lipo letee tumalize mjadala.

Ndio mana huyu W.Ruto alikosa majibu kwa mwanawe baada ya kumuuliza kwanini huyu judge anavaa herini? ni kwa sababu alikosa muongozo yeye ni mkiristo na hakuna hayo mafundisho, kuna mambo unayaona kabisa haya hayafai lakini unakosa kujenga hoja mana huna pakushika katika kitabu chenu.
 
Huwa sijengi/kutetea hoja kwa kutumia dini zilizoletwa na mzungu/muarabu. Sina interest nazo si uislam si ukristo. Natetea kwa mujibu wa sheria ya nchi. Kama unataka judge mwenye maadili ya kiislam waamasishe wenzio wajenge shule kama wafanyavyo waKristo, waende shule ili wapate viongozi wenye maadili yenu vinginevyo hizi Kazi watapewa wenye weledi na si kwa misingi ya dini.
 
Mwanamme kuvaa Herini ni tamaduni za kikafiri tokea dini zao zimekosa maandiko namna ya uvaaji wa herini ndio sasa inakuja hiyo shida hajulikani mwanamke wala mwaname, mwanamke anvaa jeanz na tshirt, mwaname herini ni udhaifu wa dini ya kikiristo lazima hili liwekwe wazi.
Unawezaje kuhusisha hulka na imani? Tena imani unahusisha upande mmoja !inaonekana una chuki za kijinga..kumbuka huu uzi hakuna sehemu iliyohusisha imani/dini ya mtu!!
 
Mwanamme kuvaa Herini ni tamaduni za kikafiri tokea dini zao zimekosa maandiko namna ya uvaaji wa herini ndio sasa inakuja hiyo shida hajulikani mwanamke wala mwaname, mwanamke anvaa jeanz na tshirt, mwaname herini ni udhaifu wa dini ya kikiristo lazima hili liwekwe wazi.
Dini huku inatokea wap tn? Uvaaji hereni wa mtu na dini vinakujaje yn!
 
Hiyo hereni imeathiri vipi shughuli zake za kijaji?
 
nkisoma hapo cuea almost five years ago hivi, nliimulizaga jamaa flan apo chuo kuhusu jaji huyu akaniambia, katika jamii ya wakamba, kuna mbari flan za huko kwao sehemu inayoitwa kitui, bibi akikaribia kuaga humpa hereni mtoto mkubwa wa kiume kimila, nlilielewa hivyo hili jambo mie
cuea alumina missio hall,jubilee hall,rugambwa hall...... ukambani hiyo kule kitui ni mila zao sema kwa uwelewa wa jamii ndio shida
 
upload_2016-6-8_16-34-53.jpeg

Huyu ni mkalenjini kabila la Ruto.Mwanae angeanza kushangaa kabila la Baba yake kwanza kabla ya kumrukia Jaji Mutunga.
 
Waislamu ndani ya kitabu chetu kitukufu yapo maandiko yanayoharamisha mavazi kama haya herini kwa mwaname, ama kuvaa dhahabu na vituo vyenye mfano huo, lakini kwa wakiristo kitabu chao chote hakuna andiko lihusianalo na mavazi kwa mwanamme na mwanamke ndio mana tunasema tuna wasiwasi na dini yenu. kwa sababu mumekosa mafundisho kwenye kitabu chenu sasa munakuja hapa munasema ni utamaduni., kwa msingi huo ndio utakuta wakiristo wengi hawajielewi wanafanya vyovyote tu katika haya mavazi kwa sababu mumekosa muongozo.

Sisi waislamu muislamu akivaa herini tunajuwa makatazo yake kwa maandiko na mtu muislamu akivaa tunajua kabisa amefanya kosa na hukmu yake ni nini lakini kwa wakiristo hamna hiyo fatwa kwenye kitabu chenu. kama lipo letee tumalize mjadala.

Ndio mana huyu W.Ruto alikosa majibu kwa mwanawe baada ya kumuuliza kwanini huyu judge anavaa herini? ni kwa sababu alikosa muongozo yeye ni mkiristo na hakuna hayo mafundisho, kuna mambo unayaona kabisa haya hayafai lakini unakosa kujenga hoja mana huna pakushika katika kitabu chenu.
Kuna aina flani ya waislamu huwa mwanishangaza sana.... utakuta ustadhi mzima ameketi na wafuasi wake wakijadiliana na kudanganyana kuhusu ukristo.... kama dini yenu ni ya nguvu sana, kwanini mwajisumbua na ukristo...

Sasa nani kakudanganya hakuna mahali nguo/mavazi huongelewa kwa bibilia?

Kitu cha kwanza unafaa ujue kwa bibilia kuna parts mbili...kuna old testament na new testament. ..

Old testament ni sheria ya Mungu tangu dunia ianze hadi pale alipotuma nabii wake Yesu. New testament ni sheria ya Mungu kuanxia pale yesu alipozaliwa hadi siku ya mwisho kwenda mbinguni...

Katika old testament, wakristo wanaahidiwa kwamba kutakua na mwamko mpya, wafyate sheria ya Mungu hadi pale mwamko mpya ukija watapewa sheria mpya. The old testament ilikua sheria ya nabii Moses, ndo maana utakuta kuna vitu vyengine kwa bibilia vinafanana na vya Quran. Haya hapa maandiko ya Bibilia yanaayo ongelea new testament

The Old Testament was preparatory, temporary, and limited. The New is complete, eternal, and universal. The Old Testament promised a New Testament

(Jer. 31:31). The prophet Isaiah spoke of the days to come when the new law would go forth from Jerusalem (Isaiah 2:2-4). In the New Testament, the Apostle Paul stated that the law of Moses had been given until the seed, which is Christ Jesus, had come (study Galatians 3:19-27).

The New Testament is the will of Christ, its seal is Jesus' blood (Hebrews 9:15-17). The testator of this will is Jesus, God's Son. The inheritance is heaven. The terms are faith and obedience. The period of probation is the Christian age which will end when Christ returns. The beneficiaries are all men who accept the terms, and the executors of the will are the apostles.

This will could not come of force until Jesus' death, "For where a testament is, there must of necessity be the death of him that made it" Hebrews 9:16. Jesus' death marked the end of the old and the beginning of the new, for, "He taketh away the first that He may establish the second" Hebrews 10:9. Christians are discharged from the law and joined to Christ (Romans 7:4-6).

Since the time of the cross, even now in this Christian age, men live under the law of Christ rather than under the Law of Moses as in the Old Testament times. (John 1:17).

Hivi ndo kitabu cha Deuteronomy ambacho ni old testament kinaongea kuhusu mavazi ya mwanamme na mwanamke

OLD TESTAMENT

Deuteronomy 22:5
"A woman shall not wear man's clothing, nor shall a man put on a woman's clothing; for whoever does these things is an abomination to the LORD your God.
----------
Psalm 104:2
Covering yourself with light as with a garment, stretching out the heavens like a tent.
--------
Leviticus 19:19

“You shall keep my statutes. You shall not let your cattle breed with a different kind. You shall not sow your field with two kinds of seed, nor shall you wear a garment of cloth made of two kinds of material.

NEW TESTAMENT

Kitabu cha kwanza cha new testament
Matthew 6:25-34

“Therefore I tell you, do not be anxious about your life, what you will eat or what you will drink, nor about your body, what you will put on. Is not life more than food, and the body more than clothing? Look at the birds of the air: they neither sow nor reap nor gather into barns, and yet your heavenly Father feeds them. Are you not of more value than they? And which of you by being anxious can add a single hour to his span of life? And why are you anxious about clothing? Consider the lilies of the field, how they grow: they neither toil nor spin, yet I tell you, even Solomon in all his glory was not arrayed like one of these.

Also from new testament kuhusu wanawake
-------
Your beauty should not come from outward adornment, such as braided hair and the wearing of gold jewelry and fine clothes. Instead, it should be that of your inner self, the unfading beauty of a gentle and quiet spirit, which is of great worth in God's sight. For this is the way the holy women of the past who put their hope in God used to make themselves beautiful. (1 Peter 3:2-5)

---------------------'
Hizi ni mfano tu, ziko aya nyingi ambazo zinaongelea mavazi.... kwahivyo kamwambie alie kudanganya akajinyonge .

Alafu usijifanye eti uislamu uko na muongozo imara ambao hauchanganyi watu, afadhali ukristo ambao umekuchanganya wewe kuhusu mambo madogo kama mavazi..... dini ya uislamu imechanganya wengine... vita vikubwa duniani vinavyoendelea kwa sasa ni mambo ya jihad.... wengine wenu mnnaamini makafiri wote lazma wawe waislamu au wachinjwe na wanasema hayo ndo mafundisho ya Quran na wengine wenu mnabaki mkiwakana kwamba hao si wenzenu kwani yeni ni dini ya amani
 
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto amesema hapendezewi na tabia ya Jaji Mkuu wa nchi hiyo Willy Mutunga kuvaa hereni. Ruto alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa kituo cha TV na akasema: "Sipendezwi na jambo hilo, mtoto wangu mdogo anasomea sheria ananiulizaga kuhusu kitendo hicho lakini nakosa majibu ya kumpa."

Baadhi ya watu wamekuwa wakimtetea Mutunga, wakisema uvaaji wa hereni ni sehemu ya utamaduni wa kiafrika.

Kumbuka huyu Jaji Mkuu alitoa hukumu ya maandamano ya CORD kuendelea, vilevile alishawahi kufungwa jela na inasemekana alifungwa gereza moja na Odinga kipindi cha Rais Moi wakati wa mapambano ya kudai vyama vingi, Hivyo ukaribu wao na Misimamo imara ya Jaji mkuu ambaye hateteleki bali anasimamia sheria, Hiyo inaweza kuwa unamkera Makamu wa rais Ruto

Naona umejaribu kuongezea maoni yako bila kuambia watu hayo ni yako... kumbuka yeye ndo jaji aliepinga kesi ya madai ya upinzani kwamba kura ifanyike tena kwani IEBC ilifanya makosaa kadhaa ambayo yalisababisha raila kushindwa uchaguzini.... ndo maana upinzani wanaandamana kila juma tatu wakitaka makamishna wa iebc watolewe kabla ya uchaguzi ujao.....

Alafu pia ujue ruto alikua hampendi huyu jaji tangu mwanzo... hivi ndo alivyosema wakati bado ye ni mbunge

Mutunga asserted that the earring was a source of ancestral inspiration and not related to his sexuality.He also stated that he is not gay.However, the Eldoret North member of parliament, William Ruto, said, "We cannot have a CJ who spots studs on his ears and claims he uses them to communicate with unseen spirits".As a result, Mutunga categorically declared, "There is no way I can remove this earring even if I become the chief justice. If am told I must remove it to get the job of chief justice, I will say keep your job

Huyo judge achana naye, alisema ni sawa majaji na ma lawyer wakivuga dredi...bora wawe smart

Kenya CJ allows lawyers to wear studs, dreadlocks

Kama huyu jaji mkuu anakustaajabisha enda ukasome kuhusu mkuu wa benki kuu wa kenya ambaye alitajwa kama bora zaidi katika wakuu wa benki zote za Africa. .... yeye hana dini, yeye ako kwa cult, ushawahi angalia movie inaitwa "Da vinci Code"? Huyo mkuu wa benki ya kenya ni member wa hao wakatholoki wa aina hio, yeye hana bibi na mali yake yote anaipena ili aidhi maisha ya kawaida bila majaribio ya utajiri
 
Back
Top Bottom