Mkuu kabla sijajibu hayo maandiko yako., naomba kwanza thibitisha ulichokiandika kwa mkono wako hapo juu ambacho nimebold kwa blue colour halafu mimi na wewe tuelekeze hoja zetu kwenye mada ya msingi.
1. Mimi nilifikiri yesu ni mungu wa wakikiristo lakini kwa mujibu wa maelezo yako hapo juu umekiri yesu ni nabii wa Mungu. yawezekana mimi na wewe tuko upande mmoja sote ni waislamu.
2. Katika aya hiyo hiyo umeeleza kwamba yesu alipozaliwa that means kumbe yesu alizaliwa na ni mtu siyo Mungu, na bila shaka kama yesu kazaliwa bila shaka mama yake alikuepo, pia kumbe yesu alinyonya kwa mama yake, pia kumbe yesu ni binadamu na sio mungu. Kama kazaliwa kabala hakuwepo mpaka alipozaliwa. kwa msingi huu dunia ilikuwepo kabla yesu kuzaliwa na ilikuwa katika himaya ya Mungu ambaye baada ya yesu kuzaliwa alimtuma na kumpa unabii. Ni sawa na kusema yesu si mungu hii ni kauli yako.
3. Kuna mahali katika paragraf hio hio umeandika Mungu alipomtuma yesu, Kumbe yesu alitumwa na Mungu mana wakiristo wengi husema yesu ni mungu lakini ndo nakusikia wewe unasema mungu alimtuma yesu. Kumbe yesu si mungu bali ametumwa na ni Mtume wa Mungu.
Kwa heshima sana naomba thibitisha haya halafu tuwekane sawa kwenye hii hoja yetu ya mavazi yawezekana wewe ni muislamu mwenzangu kwa mujibu wa maelezo yako mana hata sisi waslamu tunaamini yesu alikuwa Mtume wa Mungu na Mungu ndio alimtuma yesu kwa wana wa Israel.
Sasa tukiendelea hivi hatutamaliza leo hapa.... Kitu cha kwanza nimekwambia mi siendangi kanisani, infact last time nilienda ni kama miaka 7 iliopita, tena mimi nilikua nikianguka mtihani wa CRE mbaya..... lakini kama unataka jadiliana haya mambo, anzisha mada yako ili hio ndo iwe hoja watu wajadiliane....
kuanza kukujibu hayo maswali yako na simu itachukua muda lakini wacha nijaribu, ili usiseme nimekukimbia, utabaki umepotoka nikuacha hivyo....
nimetumia neno nabii ili maelezo yangu yakue simple ili uelewe...
Kama uko na umakini na maswali mengi kuhusu hilo swali la Yesu ni Mungu, enda ukasome kitabu chote cha John...
kitu cha kwanza unafaa ujue, hakuna mahali Yesu anasema 'explicitly' kwamba "mimi ni Mungu', ukiangalia maandiko kweli kuna aya nyingi amesema yeye ni Mungu, lakini anatumia maneno kama
John 10:30 , “I and the Father are one.”
hapa yesu alikua anajibu swali aliloulizwa na Jews, na pindi alipo sema hayo maneno, waliokota mawe na kutaka kumua nayo, kuonyesha walikua wanaelewa anasema nini, kwamba yeye ni Mungu kwani alisema yeye na Mungu ni wamoja. .
walipokua wanataka kumrushia mawe hivi ndo walikua wanasema “You, a mere man, claim to be God” (John 10:33 )
pia hapa Yesu alisema
John 8:58 , “I tell you the truth … before Abraham was born, I am!”
Leviticus 24:16 ) inasema yeyote asemaye ni Mungu akue stoned to death....hio ni sheria ya Moses....nadhani pia iko kwa Quran..
oh, kabla sijaendelea pia unafaa ujue kwamba Yesu alizaliwa alipo kuja duniani toka mbiguni, hilo ni jambo karibu kila mtu anafaa kujua, yani siku zote tangu ulizaliwa umekua haujui kwanini wakristi wanasherekea Crismasi??????????
kabla Yesu kuzaliwa duniani
"Joseph, son of David, do not be afraid to take Mary as your wife; for that which has been conceived in her is of the Holy Spirit." (Matt. 1:20)
And the angel answered and said to her [Mary], "The Holy Spirit will come upon you, and the power of the Most High will overshadow you; and for that reason the holy offspring shall be called the Son of God." (Luke 1:35
in essence Jesus, eternal and perfect - but he
became human so that he could enter into our world and die for humans
Mary ambae alikua bikra ndo alimzaa yesu , alitembelewa na malaika na akaambiwa atazaa mwana wa kipekee na jina lake Yesu.
turudi kwa yesu ni Mungu. ..
In John 14:28, Jesus says, "The Father is greater than I"
sasa hapa watu wanaanza kuchanganyikiwa, inakuaje Yesu anasema yeye na Mungu ni kitu kimoja tena badae anasema Mungu ni mkubwa kumliko....
jambo lililo wastaajabisha wale Jews ni vipi huyu Yesu alikua anajieka kwa hali ya juu hata kumwongelea Mungu ni kama alikua rika lake, unaezaje sema kiuhakika kwamba jambo kama hilo, kuna sehemu nyingi Yesu amesema tamko kama hilo... na ukiangalia wale manabii walio kua kitambo, siku zote walikua wakifanya jambo, walikua wanahakikisha wanaambia wafyasi wao kwamba hizo si nguvu zao bali ni nguvu za Mungu, lakini ukiangalia Yesu, akifanya miujiza alikua anaongea kana kwamba ilikua ni nguvu zake, alipo fanya aliezaliwa kipofu kuona, alipofanya malio vuja damu kupona,
alafu walipokua baharini wakisafiri na bahari ikachafuka na mawimbi yalikua karibu na kupindua meli/dau, Yesu alismama na kuinua mkono na bahari ikawa safi, nani tena alikua anaweza kusmamisha anga kama sio Mungu, hivyo ndo walikua wanajiuliza...
sasa kufika hapa unachanganyikiwa kama alikua ni Mungu au si Mungu. ..
baada ya kusema hivyo hapo mbele Yesu aliomba......(sasa kama Yesu alikua Mungu alikua ana muomba nani?) hii ni direct translatiin kutoka greek
At John 17:21, 22 Christ prayed, "That they all may be one; as thou, Father, art in me, and I in thee, that they also may be one in us: that the world may believe that thou hast sent me. And the glory which thou gavest me I have given them; that they may be one, even as we are one."
umaanza kuelewa alikua anamaanisha nini akisema yeye na Mungu ni kitu kimoja?
lakini kabla bado unajaribu kuingiza hio akilini mwako
mwasi wa Yesu alimwita Yesu Mungu, na Yesu hakumkosoa .....lakini tena ukiangalia hakuna mahali Yesu anasema explicitly 'muniabudu mimi', anasema muambudu Mungu Baba, na pia anasema kusamehewa na yeye ni kusamehewa na Mungu, akikugusa ni kama Mungu amekugusa, na hakuna mkristo atakae enda mbinguni bila kupitia kwake... sasa hapa unaona pia ni kama yeye ndo Mungu, lakini ukumbuke hakusema kwa uhakika kwamba yeye ndo Mungu
Yesu pia alisema
, "Even though you do not believe me, believe the evidence of the miracles, that you may learn and understand that the Father is in Me, and I am in the Father."
unaona vile alikua anataja baba na yeye ni kama kitu kimoja lakini mbona alikua hasemi yeye ndo baba...inakuaje?
kwanzia hapa sasa unaona Yesu anaongea uhusiano wake na Mungu baba.... hapa ni aloposhikwa na jesi la Roman, mwasi wake Peter alitoa upanga akiwa tayari kumtetea Yesu ili aaishikwe na asisulubiwe.. Yesu akasema
"Put your sword back into its place...Do you think that I cannot appeal to my Father, and he will at once send me more than twelve legions of angels?"
hizi hapa aya zengine, Yesu alipokua kijana, alikua baptised, na pindi alipo batizwa , anga ilifunguka na sauti kuroka mbinguni ilisema
And after being baptized, Jesus went up immediately from the water; and behold, the heavens were opened, and he saw the Spirit of God descending as a dove, and coming upon Him, and behold, a voice out of the heavens, saying, "This is My beloved Son, in whom I am well-pleased." (Matt. 3:16-17)
kutoka kwa hii ndo wengine wetu husema Yesu ni mwana wa Mungu, na wengine husema Yesu ni Mungu kwavile kwa maandiko mengine kwa bibilia Yesu amejisawazisha na Mungu. ...... jambo hili lilijadiliwa na wakristo wengi
conclusuion ni kwamba wote wako sawa.
kitabu cha genesis kinaongelea mwanzo wa dunia
Genesis 1:26 -- Then God said, "Let us make man in our image, in our likeness, and let them rule over the fish of the sea and the birds of the air, over the livestock, over all the earth, and over all the creatures that move along the ground."
inaongelea hapo mwanzoni kabisa..... lakini unaona hilo neno 'let us' 'in our own image', alikua anaongea na nani?
alafu unakuta mahali flani anasema I am THE Lord your GOD, there is no other GoD but me.
sasa kufika hapo naona utakua umechanganyikiwa kabisa....
sasa unafaa ujue kwamba kwa bibilia kuna kitu inaitwa trinity...... inamaanisha TRI-Unity yani vitu vitatu tofauti lakini vyote ni kitu kimoja kama vile maji (H2O) inaeza ikawa barafu ama mvuke ama maji ya kawaida, vitu vitatu tofauti lakini bado ni kitu kimoja...
"Go therefore and make disciples of all the nations, baptizing them in the name of the Father and the Son and the Holy Spirit." (Matt. 28:19)
unaona hapo inasema in the name of thr Father and the Son and the Holy Spirit. ..... hio ndo trinity .... there is only one God but he exists in trinity, they are distinct but they are all God
therefore Jesus is not the Father, he is the Son, he is not GOD but he is God, what ever he does is though as if the Father has done, and what ever the wholly spirit does is as if thr Son has done and ad if the Father has done...... so like Jesus said "He and the Father are One" He did not say are equal, but are one
wakati Yesu alipokua anarudi mbinguni alisema holy spirit itashuka na iwe nasi hadi siku atarudi....lakini alipo ulizwa siku ya mwisho ya dunia kuisha ni siku ghani, alisema baba pekee ndo anajua hio siku.......... hapo pia ndo unaelewa alikua anamaanisha nini akisema Father id greater than I ....
so ukisema Yesu ni Mungu, Yesu ni mwana wa MUNGU... nyote mko sawa