Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
nimesema hapa hata si kitambo... cheki vile unazidi kuongea ueleo wako wa dini yetu ndo unazidi kuonyesha vile limited knowledge of understanding of the bible. ..everything is in the bible, hayo yote unasema haiko...yote iko kwa bibilia...hakuna cha theory wala nini.... ambaye ana imani anaelewa vizuri sana... hata ni aibu ukijaribi kujadiliana na mzembe kama wewe.... yaani sijui ni madrassa gani iliku brainwash na hii half baked story...Hiyo ni theory yenu tu muliyonayo kichwani wakiristo, Lipo andiko ndani ya kitabu chenu biblia kwamba Mungu wenu ''hana sifa ya kugeuka geuka'', kwamba leo awe Mungu kesho aje awe binadamu na afanye vitendo vya kibinadamu kama unavyosema, kuteseka sijuw kumwaga damu nk halafu arudi tena kuwa Mungu.,
Swali: Wakati Yesu amekuja kibinadamu ili awaokoe Mungu alikuwa nani wakati huo yeye ni binadamu? mana yesu ndo ashakuwa binadamu, hapa silazima utumie muda sana ni akili ya kawaida unapata majibu tosha kwa kuna udhaifu mkubwa sana kwenye hiyo muitayo dini ya kikiristu.
Halafu umesema ''ajaribiwe'' (temptation) Ivi aliyejaribiwa na kuwa binadamu ni nani na aliyemjaribu ni nani?? wataje wote 2, nijuwe aliyemjaribu na aliyejaribiwa halafu uniambie katika hawo Mungu wenu hasa ni yupi? otherwise wakiristo munataka kutuaminisha kwamba miungu wenu ni wawili, haya ni maneno huwa munalishwa kanisani lakini hakuna andiko ndani ya biblia kwamba mungu atakuwa na sifa ya kugeuka geuka.
the more najaribu kukueleza the more unachanganyikiwa.... wewe ulishapotea, aliekuroga kafa, haujakuja hapa kuelewa wala ku change mind...vile ulivyo danganywa ndo unataka ubaki hivyo hivyo maana akilini mwako unajua ukifungua macho na uelewe hio itakua ni kama ku betray dini yenu.... trying to explain to you is clearly a waste of time... huu ni wakati wa ramadhan funga na amani na upendo na jirani zako...na unyenyekevu...ama mlifundishwa kutukana dini nyengine wakati wa ramadhan ndo itafanya uongezewe ma bikra mara dufu????? kweli hii dini yenu ni ya kweli, sasa nimeelewa kwanini akina alshabaab na al-Qaida na isis huongeza mashambulizi didhi ya "non-belivers" wakati wa ramadhan.. inakaa ndo unapewa mabikra wazuri zaidi.... so kama this is your way of getting the pretty ones... then tunakuelewa tu.. good luck, endelea na campain yako ya kujipotosha