Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Zanzibar ni NchiHawachelewi kukinukisha.
Wazanzibar kwa sasa wametulia, Zanzibar hakuna njaa njaa za kijinga kama zamani, mikopo waziwazi, sasa kwanini tusitulie yarab!, zinginezo hizo chokochoko ati.Kanifungua akili, kumbe dalili za ukosefu wa amani sio uwepo wa vurugu peke yake,hata ukimya uliopitiliza kwasababu ya hofu nao pia ni dalili ya ukosefu wa amani.
Ni kwa sababu ya muungano, au?Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Othman Masoud , ambaye pia aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar , amenukuliwa akieleza kwamba , kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu .
View attachment 2932200View attachment 2932201
Muwashukur walipa kodi wa bara, mmekua kama ndege wao wanakula bure tu au kwa kujipitisha kt majalala ya huku bara na kuchukua kilichobaki.Wazanzibar kwa sasa wametulia, Zanzibar hakuna njaa njaa za kijinga kama zamani, mikopo waziwazi, sasa kwanini tusitulie yarab!, zinginezo hizo chokochoko ati.
kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu .[emoji419][emoji375]Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Othman Masoud , ambaye pia aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar , amenukuliwa akieleza kwamba , kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu .
View attachment 2932200View attachment 2932201
kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu .Huyo ni mchochezi tu, amani zanzibar ipo tele, na inapiga hatua kubwa kimaendeleo, hapo awali maendeleo ya Zanzibar yapokuwa yakisuasua kweli palikuwa na tafrani.
Sema naye alipewa huo.umakamu basi tu kichwa chake sio kizuri sanaHuyo ni mchochezi tu, amani zanzibar ipo tele, na inapiga hatua kubwa kimaendeleo, hapo awali maendeleo ya Zanzibar yapokuwa yakisuasua kweli palikuwa na tafrani.
NamimiKanifungua akili, kumbe dalili za ukosefu wa amani sio uwepo wa vurugu peke yake, hata ukimya uliopitiliza kwasababu ya hofu nao pia ni dalili ya ukosefu wa amani.
Hapo unaongelea maslahinya ccm ila kama unazungumzia Maslahi ya Nchi na Zanzibat utaungana naye.Sema naye alipewa huo.umakamu basi tu kichwa chake sio kizuri sana
Hata alipokuwa mwana sheria mkuu wa serikali alikuwa hajielewi kama yuko serikalini au ni mtu huru tu kama wa mtaani anayeweza bishia hata serikali
Hapo alipo hata hajielewi kama ni kiongozi wa serikali sio.kiongozi wa chama cha siasa
Haelewi kabisa yupo hapo kama kiongozi wa serikali. Zanzibar hakuna makamu wa Raisi hapo poleni.
Ukweli usemwe tu. Mwinyi anafanya kazi nzuri sana Zanzibar. Ukiondoa mzee Karume Mwinyi anafatia. Mwinyi anaeijenga hasa Zanzibar huo ndio ukweli. ACT wakiwa hawajajipanga Zanzibar 2025 itaambulia 20%Hawachelewi kukinukisha.
Kazi anajitahidi ila kusema Anaweza kushinda Kwa Haki hilo ni Uongo.Ukweli usemwe tu. Mwinyi anafanya kazi nzuri sana Zanzibar. Ukiondoa mzee Karume Mwinyi anafatia. Mwinyi anaeijenga hasa Zanzibar huo ndio ukweli. ACT wakiwa hawajajipanga Zanzibar 2025 itaambulia 20%
Mkuu;Muwashukur walipa kodi wa bara, mmekua kama ndege wao wanakula bure tu au kwa kujipitisha kt majalala ya huku bara na kuchukua kilichobaki.
Haturuhusiwi kuwa na Ardhi zbar ila nyie mpaka ifakara mna mashamba kabisq na haswa mkiwa huru kufanya shughuli zenu, kigambon karibia itaitwa pemba.
Deni la umeme mlifutiwa at the expense ya wabara, tukilipa kodi mnakinga kopo mnapewa, mmama anavuna bara na kuleta huko zbar mle vya bure.
Kifupi hacheni mbwembwe nyie wabaguzi kinga kopo.
Ila mwisho kwa sasa huku bara tunapata hata malaya wa kizanzibar mpaka malaya wa kipemba na hawana wateja, so wameshusha bei mpaka 500