liwaya
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 2,384
- 1,648
Duh msomi huyoMakamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Othman Masoud , ambaye pia aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar , amenukuliwa akieleza kwamba , kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu .
ZANZIBAR HAKUNA AMANI, KUNA UKIMYA
"Kilichopo sasa Zanzibar ni kimya; na si amani; kwa sababu kila mtu ana wasiwasi—na mtu anapokuwa na wasiwasi ukisema ana amani sio kweli."