Makubaliano ya Muungano yanasemaje? Juu ya mgawanyo wa mapato na mgawanyo wa madeniMkuu;
Unakosea, unachosema sio kweli. wa sababu Zanzibar wanachopata haki yao kwa mujibu wa makubaliano ya muungano!
Kama chao wanakitumia vizuri kwa maendeleo yao, hamna shida! Wewe omba au dai mgao wa Tanganyika!
Maana mgao wa Tanzania ni wa pande zote!
Hii ni kwa Tz nzima, tunaambiwa ni kisiwa cha amani, ila uliopo ni hofu, ukimya na woga wa WaTz.Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Othman Masoud , ambaye pia aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar , amenukuliwa akieleza kwamba , kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu .
View attachment 2932200View attachment 2932201
Maalim kaondoka na upinzani. Maalim pekee ndio aliekuwa na ushawishiKazi anajitahidi ila kusema Anaweza kushinda Kwa Haki hilo ni Uongo.
Zanzibar ni ya wapinzani hata Yeye anajua
Naunga mkono hoja, huyu jamaa anaongozwa na hisia kuliko akili japo ni msomi.Sema naye alipewa huo.umakamu basi tu kichwa chake sio kizuri sana
Hata alipokuwa mwana sheria mkuu wa serikali alikuwa hajielewi kama yuko serikalini au ni mtu huru tu kama wa mtaani anayeweza bishia hata serikali
Hapo alipo hata hajielewi kama ni kiongozi wa serikali sio.kiongozi wa chama cha siasa
Haelewi kabisa yupo hapo kama kiongozi wa serikali. Zanzibar hakuna makamu wa Raisi hapo poleni.
Ni Mchechezi halafu yupo ndani Ya serkali kama Makamu wa Rais..Huyo ni mchochezi tu, amani zanzibar ipo tele, na inapiga hatua kubwa kimaendeleo, hapo awali maendeleo ya Zanzibar yapokuwa yakisuasua kweli palikuwa na tafrani.
Kwakuwa kausema Ukweli..Sema naye alipewa huo.umakamu basi tu kichwa chake sio kizuri sana
Hata alipokuwa mwana sheria mkuu wa serikali alikuwa hajielewi kama yuko serikalini au ni mtu huru tu kama wa mtaani anayeweza bishia hata serikali
Hapo alipo hata hajielewi kama ni kiongozi wa serikali sio.kiongozi wa chama cha siasa
Haelewi kabisa yupo hapo kama kiongozi wa serikali. Zanzibar hakuna makamu wa Raisi hapo poleni.
Sema naye alipewa huo.umakamu basi tu kichwa chake sio kizuri sanaHuyo ni mchochezi tu, amani zanzibar ipo tele, na inapiga hatua kubwa kimaendeleo, hapo awali maendeleo ya Zanzibar yapokuwa yakisuasua kweli palikuwa na tafrani.
yaani wewe ndiyo umemkamatia akili zake?Sema naye alipewa huo.umakamu basi tu kichwa chake sio kizuri sana
Hata alipokuwa mwana sheria mkuu wa serikali alikuwa hajielewi kama yuko serikalini au ni mtu huru tu kama wa mtaani anayeweza bishia hata serikali
Hapo alipo hata hajielewi kama ni kiongozi wa serikali sio.kiongozi wa chama cha siasa
Haelewi kabisa yupo hapo kama kiongozi wa serikali. Zanzibar hakuna makamu wa Raisi hapo poleni.
Hujali kwasababu una u Tanganyika ndani yakoHata wakichinjana wala sijali ni juu yao wenyewe
Kusema tu haosadii kama anaona umakamu wa Raisi kwake hauna la maana yeyote ajiuzulu hiyo nafasiKwakuwa kausema Ukweli..
Ifike mahala Ukweli uwe SI unit Yetu wote bila kuogopa hadhi na Heshima uliyonayo
Sio utanganyika tuu sipendi hata kuwasikia mabwabwa wale lolote baya liwakute sawa tuuHujali kwasababu una u Tanganyika ndani yako
Ubaguzi wa namna yoyote ile ni mbaya sana
inawezekana anachapwa makofi ndani ya nyumba yake na amekaa kimya, maana yake hamna amani hapatoshi , busara inamtuma akae kimya 🐒Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Othman Masoud , ambaye pia aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar , amenukuliwa akieleza kwamba , kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu .
ZANZIBAR HAKUNA AMANI, KUNA UKIMYA
"Kilichopo sasa Zanzibar ni kimya; na si amani; kwa sababu kila mtu ana wasiwasi—na mtu anapokuwa na wasiwasi ukisema ana amani sio kweli."
Ngoja tuoneinawezekana anachapwa makofi ndani ya nyumba yake na amekaa kimya, maana yake hamna amani hapatoshi , busara inamtuma akae kimya 🐒
kwenye hizi nyumba miongoni mwa jamii kuna mambo mengi sana huko ndani 🐒
sio kuona tu utaskia pia mazrui na jusa pia wanalia kwa sauti ya aina nyingine pia 🐒Ngoja tuone
Wasi wasi wa nini sasa, kwa aliyemfahamu, wa ukosefu wa sukari kwa ajili ya mfungo wa Ramadhani au mikopo kutoka bodi ya elimu ya juu ???Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Othman Masoud , ambaye pia aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar , amenukuliwa akieleza kwamba , kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu .
ZANZIBAR HAKUNA AMANI, KUNA UKIMYA
"Kilichopo sasa Zanzibar ni kimya; na si amani; kwa sababu kila mtu ana wasiwasi—na mtu anapokuwa na wasiwasi ukisema ana amani sio kweli."
Mazrui sio katika watakaolio na kama atalia basi atakuwa mru wa ajabu maana zabuni za kujenga hospitali ya wilaya zinafanywa na kampuni yake na viaja wake. sasa huwezi kunyea unapokula kwa utamaduni wa Pwanisio kuona tu utaskia pia mazrui na jusa pia wanalia kwa sauti ya aina nyingine pia 🐒
kwahiyo anaweza kuobserve table manners , kwamba ukiwa una chakula mdomoni hapana kuzungumza sio 🐒Mazrui sio katika watakaolio na kama atalia basi atakuwa mru wa ajabu maana zabuni za kujenga hospitali ya wilaya zinafanywa na kampuni yake na viaja wake. sasa huwezi kunyea unapokula kwa utamaduni wa Pwani