Makamu wa Rais: Zanzibar hakuna Amani, kuna Ukimya


Badala ya kutumikia watu wao wanawaza madaraka.

Vyombo vya habari duniani vinazungumzia vifo vinavyoendelea Pemba kutokana na kula kobe, yeye anawaza kufanya fujo.

Si ajabu ata hana habari inayo trend Google kinachoendelea huko kwao Pemba na kuistua dunia.
 
😆😆😆😆😆😆
 
Maza kawaongezea mgao.

hata ajira kwa sasa Wazenji wanapeta .... wengine wanapewa kazi Bara kazi ambazo hazihusiani na muungano.
 
Ukweli usemwe tu. Mwinyi anafanya kazi nzuri sana Zanzibar. Ukiondoa mzee Karume Mwinyi anafatia. Mwinyi anaeijenga hasa Zanzibar huo ndio ukweli. ACT wakiwa hawajajipanga Zanzibar 2025 itaambulia 20%

Unaijua Zanzibar mkuu?
 
Ndio

Uelezee sasa.

Kuna source ambazo ni makusanyo ya muungano kwa maana ya pamoja. Hela inayokusanywa kwenye hizi source hatua ya kwanza ni kutumika kwenye mambo na miradi ya muungano. Kwa mfano kulipa mishahara wizara za muungano na vyombo vya ulinzi vya muungano. Hela inayobakia inapigwa karata kwa % ambazo zipo kisheria.

Kwa hiyo hata kwenye mikopo inayoka ni Serikali ya Muungano na kila mtu atapewa gawio la mkopo huo, na kwenye kulipwa mkopo utalipwa kwa kupitia lilelile pato la muungano na si kwenye pato lisilo la muuungano.

Sasa mnapokuja na dhan za kuwa Zanzibar wanakopa halafu Bara ndio wanalipa ni uthibitisho wa udogo wa ufahamu wenu.
 
Sio utanganyika tuu sipendi hata kuwasikia mabwabwa wale lolote baya liwakute sawa tuu
Pole sana chief,,, chuki yako haitakufikisha popote

Nyerere alisema ukianza kuwatenga wanzibari na watanganyika baadae utagundua kumbe hakuna watanganyika bali kuna wazigua, wahaya, wachaga na kadhalika

Na katika wanzibari utakuta kuna wapemba, waunguja na kadhalika

Dhambi hiyo itaendelea mpaka kesho

Hakikisha upendo unatawala siku zote
 
Bora niwapende hata ngurue nitakula nyama sio wale wapuuzi hizo pole zako kawape wagonjwa na waliofiwa
 
1)Zitaje hizo asilimia ni ngapi na ikiwezekana reference ya ilipoandikwa

2) Pili uthibitisho wa ikiwa huo mgawanyo unafuatwa kiuhalisia kwenye makusanyo,matumizi na ulipaji wa mikopo
 
1)Zitaje hizo asilimia ni ngapi na ikiwezekana reference ya ilipoandikwa

2) Pili uthibitisho wa ikiwa huo mgawanyo unafuatwa kiuhalisia kwenye makusanyo,matumizi na ulipaji wa mikopo

Asilimia za Zanzibar ni 4. something na zilizobakia za Tanganyika.

Na kuhusu mgawanyo kwa kifupi tu, Zanzibar imekuwa ikionewa kwa miaka mingi sana kutopewa mgawanyo wake kamili, kwa kifupi wanaidai Tanganyika hela nyingi sana. Ni kipindi hichi cha Samia ndio wameanza kupata hela kikamilifu. na ndio watanganyika wameanza kulia lia kisa tu Zanzibar kwa sas wanapata mgao wao.

Nahili tatizo linasababishwa na Tanhganyika, mana mpaka leo kwa zaidi ya miaka 30 sasa wameshindwa kufungua akaunti ya pamoja huku wakizichanganya hela za Tanzania na Tanganyika kwa Pamoja na mwisho wa siku kutengengeza mbinu za kuipiga bao Zanzibar.

Zanzibar wamekua na malalamiko mengi kwenye muungano kwa miaka mingi sana huku wantanganyika wakiwaona kama watu wanaopenda kulialia na kutozingatia nini hasa wanalalamikia.

Kuna vitu unatakiwa ujiambie kabisa, Zanzibar anaanzaje kuinyonya Tanganyika wakati Serikali ya Tanzania kwa asilimia zaidi ya 95% inaendeshwa na watanganyika?

Uhalisia wa Mgawanyo umekua haonekanwi kwa sababu watanganyika mpaka hii leo wanagoma kueka uwazi kwenye haya masuala.
 
Swali lina vipengele vingi hujavijibia. Ikiwemo reference ya 4% na mengineyo. Maana kwa kanuni uliyoisema ni kuwa tukikopa 1000bilioni KWA matumizi ya Muungano ni kuwa Zanzibar itapata 40B,itarudisha 40B jumlisha riba. Ndicho kinachofanyika cha namna hiyo?
 

Hivyo ndivyo ilivyo. Ila mara nyingi Zanzibar huwa ina njia zake zenyewe za kujikopea zisizo za Muungano, Kwa hiyo Mara nyingi Mgao wa mikopo ya Muungano huwa cleared na mapato ya Muungano. Na tatizo linakuja kwa Tanganyika Pale inapotumia serekali ya Muungano kukopea madeni yake nahapo ndipo unapoanza msongamano.
 

Naendelea kukutaftia refrence ya uhakika bado sjaipata, Ila anzia nahii ya Zitto

Zitto Kabwe Ruyagwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…