Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #101
Sawa uncleeAje yeye badala umfuate moja kwa moja? Unaniangusha sasa na mtoto ameshalainika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa uncleeAje yeye badala umfuate moja kwa moja? Unaniangusha sasa na mtoto ameshalainika
Duh🤣Ni kipande cha kiungo 🤣
Na Mimi ndio nimeyajua Leo haki ya Nan!Kumbe ni makange, hebu picha ya makange maana wengine hatuyajui
Huko dasilam wameshaupdate kiswahili sisi hatujui 🤣🤣Na Mimi ndio nimeyajua Leo haki ya Nan!
Ndio ndio, hatari kabisa.Ngararimo za magadi😆😆
Sasa kiwi na kishungi vinatafuta hapo?
Nilibrash viatu so nimeviacha hapo nikasahau kutoa nimechok sanaSasa kiwi na kishungi vinatafuta hapo?
Nakuja kunywa juisiNilibrash viatu so nimeviacha hapo nikasahau kutoa nimechok sana
Karibu sana sanaNakuja kunywa juisi
Ukimaliza juice yangu itabidi unitengenezee juice ya kiume ile 😂Nakuja kunywa juisi
Jamani yaani mgeni unaanza kumpa kazi tena?Ukimaliza juice yangu itabidi unitengenezee juice ya kiume ile 😂
Wanasemaga mwanamke hana ugeniJamani yaani mgeni unaanza kumpa kazi tena?
Na hiyo juisi ya kiume ndio ipi?Wanasemaga mwanamke hana ugeni
Karibu hapa small planet tabata tupate moja mbiliweka na safari ya baridi hapo
duniani humimu kunywa na kula mbinguni hakuna msos wala beer
Karanga + maziwa + tendeNa hiyo juisi ya kiume ndio ipi?
Utakuta maziwa na karanga tu, tende lazima nitazila zote 😂Karanga + maziwa + tende
Nna balaa langu ila simfikii huyo mmenya ndizi, kama ni yeye anajua.Mwachi mwenye jiko lake, safi sana.
Dipresheni hebu jifunze nawee khaaah! Mtu gani hata chai unaunguza!
Ulikula makange na nini?